Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

Serikali na CCM ilikosea ilipoanza kuwahusisha watu kama Gwajima katika siasa na mipango nyeti.
Madhara yake ni haya.
Unaweza kutafsiri kuwa Gwajima anaogopwa na serikali, chama na vyombo vya dola.
Hata hivyo, yawezekana Gwajima ana intelijensia Kali kuliko tunavyofikiria, (ukimnukuu Lema wa Chadema kuwa siku moja kabla Lisu hajashambuliwa Gwajima alimuonya kuwa akienda Dodoma atashambuliwa).
Haya mambo yaweza kuwa makubwa kuliko tunavyofikiria.
 
When somebody proclaims foolishly that he can resurrect the dead, and you believe in his free speech-or sermon for that matter, it's obvious who the next fool is, on the line.
 
Anaweza, hakuna mtu aliyelazimishwa kwenda kanisani kwake.
 
Hiyo staili ya Kikwete, ana mmaliza hasimu wake huku akicheka!
 
Mamlaka imesema chanjo ni HIARI.

HIARI ni kwamba ANAYEHAMASISHA KUCHANJWA Au KUTOCHANJWA; na ANAYECHANJWA au ASIYECHANJWA WOTE WANA HAKI SAWA.....
Na gwajima ametumia hiyo nafasi kuwaeleza waumini wake kwanini ni hiari.

Kiimani kama Chanjo ingekua SHURTI gwajima alitakiwa kuwajibishwa na Mungu na mamlaka pia kwa kukosa utii

Hukumu ni ngumu hapa😅😅😅😅
 
Hiari is a diplmatic way ya kusema , chanjo ni muhimu.
Tukumbuke ofisi nzima ya Magufuli kule Ikulu ilipukutika!
Hata Mwinyi aiwahi kusema ushauri wa mzee au mtu wa mamlaka inakuwa sheria usipoitekeleza.
 
Serikali ikiwa unawajua watanzania walivyo inashindwa nini kusema chanjo ni lazima kwa usalama wa wananchi wake??

Kwanini kuna ukakasi kwenye hilo? Kumbuka agizo la serikali ni sheria..... sasa wameshasema ni HIARI wananchi wamepokea na wanatekeleza kwa HIARI huku wakiwasikiliza viongozi wao wa imani wana muelekeo gani
 
Naona hujafiwa na ndugu aliyepata korona.
Omba yasikukute!
 
Naona hujafiwa na ndugu aliyepata korona.
Omba yasikukute!

Unasoma lakini huelewi🙄 jaribu kujua kelewa mzizi wa jambo kabla ya kulalamikia matokeo

Tofautisha HIARI na SHURTI, elewa maelekezo na sheria kisha urudi tena kwenye mjadala
 
Roho mtakatifu wako ndiye alikuagiza upeleke kura feki vituoni kwenye mabegi ukisaidiwa Na Polisi??
 
Hiari is a diplmatic way ya kusema , chanjo ni muhimu.
Tukumbuke ofisi nzima ya Magufuli kule Ikulu ilipukutika!
Hata Mwinyi aiwahi kusema ushauri wa mzee au mtu wa mamlaka inakuwa sheria usipoitekeleza.
Nyinyi mnaoikubali chanjo mbona hamchanji? Au unataka kutuambia kuwa watanzania karibia wote wakiwemo nyumbu wenu wanamsikiliza Gwajima? Hushangai idadi ya waliochanga haifikii laki nne?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…