Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

Sema SGR wanawanyima wakaazi pande mbili za reli haki ya kuwasiliana kwa kuwatenganishia na uzio bila kuwawekea understanding tunnel yaani makaravati ya kuvukia chini ya reli. Kama walivyowawekea wanyama wa porini na mifugo makaravati ya kuvukia chini ya reli. KWA sababu wao wanakaa masaki na osterbay hayawahusu. Kuna shule, masoko, stand za daladala, nyumba za ibada na shughuli mbalimbali za kijamii, hivi vinalazimisha wakaazi wa pande zote mbili kuingiliana SAsa kuwawekea uzio wasiwasiliane ni kinyume na haki za binadamu.
 
yaani mleta uzi unaonesha ni namna gani ma - ACT Wazalendo yalivyo vilaza na viazi kweli kweli
 
Hizi akili za aina yake.

Mleta mada anataka atushauri tuzaliane kwanza kabla ya kununua ndege za air Tanzania.

Ndio ushauri utaofuata.
Hapa sidhani kama umeelewa mada inahusiana na nini maana umemwaga takataka.

Fedha zinakopwa nchi za kigeni halafu haziji hapa zinapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapahapa.
 
Unamsingizia tu magufuli.Aliyesababisha hasara ni huu utawala wa malkia yezebael by mdude's voice.magu aliacha pesa za kutosha lakini zimechezewa kwa safari zisizo na mashiko na kikubwa zaidi ni kushindwa kizuia wizi wa pesa za umma kwa walamba asali
 
Hakuna asiyetaka sgr. Ishu hapa ni kwamba nchi inakopa madola mengi halafu yanapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapa kwetu.
Upo sahihi, ni jukumu la viongozi waliopo sasa kuyafanyia kazi hayo mawazo unayosema, Magufuli yeye kafanya la upande wake, viongozi wa sasa walipaswa kufanyia kazi hili usemalo since we still have big projects ahead of us, mfano reli ya kigoma na hiyo ya Mwanza si bado kabisa
 
Unamsingizia tu magufuli.Aliyesababisha hasara ni huu utawala wa malkia yezebael by mdude's voice.magu aliacha pesa za kutosha lakini zimechezewa kwa safari zisizo na mashiko na kikubwa zaidi ni kushindwa kizuia wizi wa pesa za umma kwa walamba asali
Kuna ushahidi kwamba pesa ziliachwa? Aliziacha wapi wakati alikuwa anakopa kila uchwao?
 
Hapa sidhani kama umeelewa mada inahusiana na nini maana umemwaga takataka.

Fedha zinakopwa nchi za kigeni halafu haziji hapa zinapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapahapa.
Una upeo mdogo sana wa kuelewa ndio maana hujanielewa.
 
Back
Top Bottom