Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Mwendokasi mmeshindwa,Tazara mmeshindwa nini kitakuwa kipya?Sisi tunaitaka SGR,tumechoka kukaa kwenye Bus masaa 12+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendokasi mmeshindwa,Tazara mmeshindwa nini kitakuwa kipya?Sisi tunaitaka SGR,tumechoka kukaa kwenye Bus masaa 12+
Mwendokasi mmeshindwa,Tazara mmeshindwa nini kitakuwa kipya?
Hakuna asiyetaka sgr. Ishu hapa ni kwamba nchi inakopa madola mengi halafu yanapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapa kwetu.Sisi tunaitaka SGR,tumechoka kukaa kwenye Bus masaa 12+
Hapa sidhani kama umeelewa mada inahusiana na nini maana umemwaga takataka.Hizi akili za aina yake.
Mleta mada anataka atushauri tuzaliane kwanza kabla ya kununua ndege za air Tanzania.
Ndio ushauri utaofuata.
Act wazalendo ya ayatollah msaliti na mnafiki zitto inaingiaje hapa?yaani mleta uzi unaonesha ni namna gani ma - ACT Wazalendo yalivyo vilaza na viazi kweli kweli
Je kilimo kwanza imeweza?Mwendokasi mmeshindwa,Tazara mmeshindwa nini kitakuwa kipya?
Upo sahihi, ni jukumu la viongozi waliopo sasa kuyafanyia kazi hayo mawazo unayosema, Magufuli yeye kafanya la upande wake, viongozi wa sasa walipaswa kufanyia kazi hili usemalo since we still have big projects ahead of us, mfano reli ya kigoma na hiyo ya Mwanza si bado kabisaHakuna asiyetaka sgr. Ishu hapa ni kwamba nchi inakopa madola mengi halafu yanapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapa kwetu.
Kuna ushahidi kwamba pesa ziliachwa? Aliziacha wapi wakati alikuwa anakopa kila uchwao?Unamsingizia tu magufuli.Aliyesababisha hasara ni huu utawala wa malkia yezebael by mdude's voice.magu aliacha pesa za kutosha lakini zimechezewa kwa safari zisizo na mashiko na kikubwa zaidi ni kushindwa kizuia wizi wa pesa za umma kwa walamba asali
😂Je kilimo kwanza imeweza?
Una upeo mdogo sana wa kuelewa ndio maana hujanielewa.Hapa sidhani kama umeelewa mada inahusiana na nini maana umemwaga takataka.
Fedha zinakopwa nchi za kigeni halafu haziji hapa zinapelekwa Japan kununua chuma ambayo inapatikana hapahapa.