Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
Ingekua uongo lingepuuzwa, kwa sababu aliyesema utekaji upo ni wa chama chao wanaona ni msaliti (traitor).Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
Yameshahojiwa na wengine...Inafikirisha sana... Inamaana aliyoyahoji gwajima yangehojiwa na mtu mwingne ambaye si mtu wa dini ingechukuliwa kwa ukubwa km huu?
Naunga mkono hojaNa. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
Yes anapiga kimya as if hao wanaopotea si kitu ....Ingekua uongo lingepuuzwa, kwa sababu aliyesema utekaji upo ni wa chama chao wanaona ni msaliti (traitor).
CCM na mwenyekiti wao kisirani kinakuja kwa sababu wanajua ni ukweli.
Rais wa Tanzania kambiwa watu 80 wamepotea wametekwa na wameuliwa, hajasimama kusema kitu.
Tunaona kila wakati hata akiuawa mtu mmoja kwa unyama Rais wa Marekani atapewa taarifa na hutoa neno lake. Samia kaambiwa watu 80, halafu ni violently lakini kimyaa, akitoka ni vijembe, ati kifo ni kifo
Hakuna cha uongo alichosema Gwajima. Na hakuna kipya alichokisema.Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
Hoja inapojibiwa kwa virungu...lakini ukifikiria wala siyo gumu kujibu....Hakuna cha uongo alichosema Gwajima. Na hakuna kipya alichokisema.
Alichofanya yeye ni kuongeza tu sauti dhidi ya hayo matendo.
Na kwa kweli mpaka sasa hakuna aliyezipangua hoja zake kwa kutumia hoja na taarifa za ukweli.
Yeye katoa hoja. Wao wamemjibu kwa kutumia nguvu.
Ukweli huuma.
Na labda, ukweli unaposemwa na mtu wa ndani, huuma zaidi….
Ni wewe unayeshangaza.Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Good thinkingNa. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
Kwani wewe hukuona walicho pelekewa, au akili yako ina vyumba visivyo ingiliana?wajivue na watoa waraka pia.
hapo mzani utakuwa sawa.
vinginevyo gwajima anaonewa.
Tunashauriana tuifute hii kalenda tunayoitumia ili tuibuni yenye sifa tunazozitaka.Kwani kuna nini kinaendelea hapa nchini? maana mimi nimetoka Jela leo
Jamaa huyu mwanzisha thread tangu uchaguzi wa 2015 uishe akili hazijamkaa sawa. Ni wale watu wanafurahi kuona mtu ambaye alitofautiana naye kimawazo, anaishi maisha ya tabu na dhiki hata kama hana kosa. Ni diktekta mmoja uchwara wa hatari sana. Hivi kweli mauaji yanayoendelea ni kitu cha kawaida?Ni wewe unayeshangaza.
Gwajima kasema ukweli unaowaumiza wahusika ambao ni hiyo hiyo serikali(?) (Samia na Genge lake).
Utekaji/upotezaji/ uuaji, unafanywa kwa lengo maalumu; la kuyazima aliyothubutu Gwajima kuayaongelea; kwa nini lisiwe jambo kubwa kwao?
Utalinganisha vipi haya na watu kuuliwa na majambazi tu huko mitaani?