THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
..Lissu alishambuliwa katika makazi yenye walinzi wa serikali.
..siku aliyoshambuliwa walinzi wa serikali walikuwa wameondolewa.
..tangu ameshambuliwa Lissu hajahojiwa na Polisi, na waliomshambuliwa hawajakamatwa.
..kwa hoja hizo tatu naweza kusema kwamba Lissu alishambuliwa na serikali.
..Watu mbalimbali ikiwemo Lissu mwenyewe, na Mwenyekiti mstaafu Mbowe, walisema serikali ilihusika na jaribio la mauaji.
Safi kabisa,twende taratibu taratibuu.
Uliskia sasa kipindi kile watu walisema chochote kwa jiwe juu ya Hilo?
Na pamoja na kwamba jiwe alisikika akitamka ikulu kuwa wanajeshi wanajua ukiwa uwanja wa mapambano kisha mwanajeshi mmoja akageuka nyuma anapaswa kufanywa Nini,the same day alitoa kauli hiyo lisu alishambuliwa.
Je,ulisikia mtu kama Gwajima au wengine kumtaja wazi wazi kuwa jiwe anahusika?if no why now then vidole vielekezwe kwa Samia na watu wa sampuli ya Gwajima?