Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

Hiyo ni level ya akili yako na Gwaji boy, usituweke kwenye level zenu ambazo ni imbecelic
Ungekuwa na akili hata za kuazima ungejibu na kuchambua hoja zake, ila buku 7 na tumbo unaogopa kuwazungumza watekaji wanaokupa nguvu ya kwenda chooni mpuuzi wewe
 
Hiyo ni level ya akili yako na Gwaji boy, usituweke kwenye level zenu ambazo ni imbecelic
Ungekuwa na akili hata za kuazima ungejibu na kuchambua hoja zake, ila buku 7 na tumbo unaogopa kuwazungumza watekaji wanaokupa nguvu ya kwenda chooni mpuuzi wewe
Wenyewe mbona wanuana???
View attachment 3358229
Mwenye vyombo vya Dola vinavyohusika na ulinzi na usalama wa raia kama wenyewe wameuana Sheria zinasemaje? Polisi hawatakiwi kuwakamata?

Na jee inatoa ruhusa kwa serikali kuteka, kupoteza na kuua wakosoaji?
 
Kwani uko bungeni kaingia kwa kofia ya uaskofu? Si mwanasiasa pia?

Ukisiliza alichoongea kabla ajaaanza kuongea alijitambulisha kwa nafasi zake, nanukuu alisema yeye ni askofu, mbunge , mnec au kuna nec ya kiaskofu? Ila aliendelea kusema ile siku alikuwa anaongea kama mtanzania.
Yaani inafikirisha sana
 
Serikali ya wauaji iwajibike siyo kutaka kuzima sauti zinazopinga mauaji yao.

Na nyinyi CHAWA wa buku 7 muanze kupaza sauti kukemea leo ni CHADEMA kesho itakuwa ndugu yako
Halafu buku saba atanipa nani? Hawara yako?
 
Ni serikali ya hovyo ndio aijamuelewa Gwajima.

Vyombo vya ulinzi na usalama kwa wanao chukulia majukumu yao serious, hawawezi pendezewa na utekaji wa kishamba unao endelea.

Alikadhalika si kweli kila anaetekwa serikali inahusika (kuna makaburi kadhaa, yamefukuliwa kwa waganga) hayo ni madhara ya ushirikina ndani ya jamii.

Hoja ya msingi na implication ya serikali ni wale wakosoaji wa serikali.

Ukimsikiliza Gwajima kwa makini ni speaker tu, ya taasisi zilizo nyuma yake ambao wamechoka (team ya ‘bi-tozo) hata akili ya kung’amua hilo hawana.

Kwa kifupi doła pia imechoshwa na senseless killings.

Shida ni kwamba, Samia hajui hii social problem ni yake. Ni kama vile hajui madaraka yake na social issues zinazokera.

Samia, Mdude hakuwa na madhara na wewe ya kuuliwa (inakera), Mdude ni alikuwa anafanya siasa mradi na yeye awemo.

Huu utekaji na kupoteza maisha ya watu kishamba inakera na inauma (hiyo ndio hoja ya Gwajima).

Jeshi la polisi uhalisia hawasuki na hayo matukio ndio maana wana kigugumizi,
Na Gwajimq,akawasisitizia tena ,'kuteka na kuua sio utamaduni wetu'...siasa zetu hazipaswi kuwa hivo kisa Madaraka
 
Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Kwani mahubiri ya kanisani na siasa yanatofauti gani mpaka aache uchungaji?.....
 
Kwani akina Bagonza, TEC wanafanyia kwenye mikutano ya kisiasa?

Ukiwa CCM lazima ujichatue uwe chizy

Wewe juha wa CCM alifanya press conference, hiyo ni Moja. Kanisani aliweka sawa maana ya GWAJINIZATION

Pili mbona nyie wote machawa wa CCM hakuna hata mmoja anayejibu hoja zake? Je hakuna utekaji upoteaji na mauaji ya Raia?

Ukisema kweli unaachwaje? Mnatakiwa kupimwa afya ya akili

I don't know how to call you whether a daughter or a son of a bitch,

Ishu siyo kusema ukweli,kama ni ukweli kuhusu Hilo alilolisema hata sheikh ponda alisema,na alisema kwa data,umeona jeshi la polisi likimkamata??

Huyo askofu wenu uchwara,tapeli na mzandiki Gwajima amehusisha mamlaka na huo utekaji,sasa unataka VIPI aachwe?

Sikilizeni,kuwa kwake askofu siyo kigezo cha yeye kupata jeuri ya kuongea lugha za shombo.

Atashikishwa adabu tuh.
 
Ni lazima niseme wazi.
Hukuelewa nilicho andika.
Haiwezekani, na hakuna siku yoyote ambayo wewe na mimi tunaweza kuwa na msimamo unaoafikiana katika jambo la nchi yetu. Kwa maana hiyo huwa sisomi chochote toka kwako humu JF.

Mimi nadhan wewe ndie ambae haujanielewa Mimi,na siyo point yangu kukutaka wewe unielewe.

Kwa msisitizo zaidi ni kwamba,KAMA AMETAMKA LUGHA ZA UCHOCHEZI NA FITINA ZA KUHUSISHA MAMLAKA KWA KUSEMA KUWA INA WAPA BARAKA WATEKAJI,WHY MNAMTETEA NA KUTAKA POLISI WASIMCHUKULIE HATUA?

NA KAMA ALITAMKIA KAULI ZINGINE KANISANI,WHY KANISA HILO LISIFUTWE?
 
Mimi nadhan wewe ndie ambae haujanielewa Mimi,na siyo point yangu kukutaka wewe unielewe.

Kwa msisitizo zaidi ni kwamba,KAMA AMETAMKA LUGHA ZA UCHOCHEZI NA FITINA ZA KUHUSISHA MAMLAKA KWA KUSEMA KUWA INA WAPA BARAKA WATEKAJI,WHY MNAMTETEA NA KUTAKA POLISI WASIMCHUKULIE HATUA?

NA KAMA ALITAMKIA KAULI ZINGINE KANISANI,WHY KANISA HILO LISIFUTWE?
Like I said, I've no time with the likes of you.
To me you're a corpse. I've no business with dead bodies.
 
Like I said, I've no time with the likes of you.
To me you're a corpse. I've no business with dead bodies.

And why should i have a business with you in either way?

If we can assume to make speculations in this forum you are just a low profile...!

..CADAVER...
 
Hakuna cha uongo alichosema Gwajima. Na hakuna kipya alichokisema.

Alichofanya yeye ni kuongeza tu sauti dhidi ya hayo matendo.

Na kwa kweli mpaka sasa hakuna aliyezipangua hoja zake kwa kutumia hoja na taarifa za ukweli.

Yeye katoa hoja. Wao wamemjibu kwa kutumia nguvu.

Ukweli huuma.

Na labda, ukweli unaposemwa na mtu wa ndani, huuma zaidi….
Uzi ufungwe.
 
Siwezi kumtetea Tapeli huyu. Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge. Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeli
Wewe nawe ni mpuuzi tu, Magufuli ndio mwanzilishi wa utekaji! ulikuwa wapi enzi za Kikwete wakati Dkt Ulimboka anatekwa na kutupwa Mabwepande?Dkt Sengondo Mvungu alikatwa na mapanga kisa katiba mpya, Absolam Kibanda alitobolewa macho kisa alikuwa hakiandika habari za Kikwete kwenye gazeti la Tanzania daima,Mwangosi alitobolewa utumbo mchana kweupe kule Iringa kisa kuripoti habari za chadema,kwanza Magufuli walipitea watu wachache kulinganisha na Kikwete na Samia,sema tu Magufuli alikuwa na maadui wengi,sababu aliwabana mafisadi.
 
Serikali ilitakiwa kumjibu tu hoja za Gwajima au ingekaa kimya kama haina majibu na kumuacha Gwaji boy aendelee na mambo yake isingekuwa ishu kubwa
 
Kuna majinga fulani humu JF nadhani hayafiki hata 10 hayataki kukubaliana na jambo muhimu alilolinena gwajima yenyewe yamekazania ushabiki mavi tu majinga haya si mengine bali ni wake wawili wa abduli nao Lucas Mwashambwa ambaye ni mke mkubwa na Tlaatlaah ambaye ni mke mdogo.Hawa kazi kutwa nzima ni.kumtetea mama mkwe wao
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...


View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg

Yaani ajibue Kwann? Sijaelewa
Wapi oachangany uchungaji na siasa?
Yaani baada ya kusema ukweli ndo anajua kachanganya?
 
Back
Top Bottom