Gwajimanized na Samialization ya Siasa Zetu: Serikali Imelikuza la Gwajima

Kwani wewe hukuona walicho pelekewa, au akili yako ina vyumba visivyo ingiliana?
Yule padre wakati huu angekuwa anliwa na funza.

Umeona uchunguzi wa kuwapata wahusika ulivyo hadi sasa; kama ule mkasa wa Marehemu, Mzee Kibao; ambaye yeye alielezwa kuwa "kifo ni kifo tu", na uchunguzi wa tukio lile ulio ahidiwa anaujuwa Samia pekee!

Mambo haya yanavyotokea, na yanavyo puuzwa na vyombo vya serikali; watu wasijiulize kulikoni?
Akina Gwajima wanapojitokeza katika hali ya namna hiyo; hao wahusika wasistuke?

The Guilty are always Afraid.
umekurupuka tu, koment yangu iko based kwenye hitimisho la bandiko.
 
Naunga mkono hoja
P
Paschal wewe ni mwandishi lakini ni Mwanasiasa pia. Tupuuzie maandiko yako sababu ya mrengo wako kisiasa? Tutajuaje hapa kaandika mwandishi wa habari hapa kaandika Mwanasiasa? Zile makala zako za kwa maslahi ya Taifa, zinaandikwa na wewe mwanasiasa? au wewe mwandishi wa habari? Hakuna hidden agenda za kisiasa kwenye mambo neutral unayoandika kama mwandishi? Sababu mada ni Gwajima, mi nafikiri viongozi wa dini waachane na Siasa, au labda niseme wanasiasa waache kujifanya viongozi wa dini.
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...

View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg

1. Reverend Martin Luther King Junior.
2. Archbishop Desmond Tutu
3. Reverend Dr. William Barber
4. Reverend Jesse Jackson
5. Reverend Al Sharpton
6. Louis Farrakhan
7. Rabbi Abraham Heschel
8. Father Camilo Restrepo
9. Pastor Christopher Mtikila

Wote hawa waliona na wanaona kuwa kiongozi wa kiroho ana wajibu kukemea uovu unaotendeka katika jamii bila uoga wowote.

Amandla...
 
Kinachonichekesha na kunikasirisha ni pale wale waliokaa kimya wakati Gwajima anaropoka. Wale waliomsifia na kumshangilia wakati anaropoka hadi kusema Serikali imepata mtemi wake, leo ndio wanakuja na vifalsafa vya ajabu ajabu;
Mara ooh, ashughulikiwe Gwajima sio Kanisa!
Mara ooh, sasa waumini wake watasalia wapi!

Mara ooh, Serikali imechukua hatua kali sana!

Kwani, wakati anaropoka, hamkujua kitachomtokea na kumuonya? Sisi tulioonya mapema si mlituona mapimbi? Sasa Kiko wapi?
 
"Watanzania tuna dhambi gani?🤤" ~Hayat Rais John Pombe Magufuli

Gwajimanized
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...

View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg

Mkuu, kinachoendelea naona kama sinema(political theatre) tu.

'Siasa ni mchezo mchafu'

Wanajua walifanyalo
 
1. Reverend Martin Luther King Junior.
2. Archbishop Desmond Tutu
3. Reverend Dr. William Barber
4. Reverend Jesse Jackson
5. Reverend Al Sharpton
6. Louis Farrakhan
7. Rabbi Abraham Heschel
8. Father Camilo Restrepo
9. Pastor Christopher Mtikila

Wote hawa waliona na wanaona kuwa kiongozi wa kiroho ana wajibu kukemea uovu unaotendeka katika jamii bila uoga wowote.

Amandla...
Rev.Israel Natse
Rev.Msigwa
Rev.....
Rev.....e.t.c
 
Ni wewe unayeshangaza.
Gwajima kasema ukweli unaowaumiza wahusika ambao ni hiyo hiyo serikali(?) (Samia na Genge lake).

Utekaji/upotezaji/ uuaji, unafanywa kwa lengo maalumu; la kuyazima aliyothubutu Gwajima kuayaongelea; kwa nini lisiwe jambo kubwa kwao?

Utalinganisha vipi haya na watu kuuliwa na majambazi tu huko mitaani?
Gwajima mbona hajaituhumiu serikali?
 
Ni serikali ya hovyo ndio aijamuelewa Gwajima.

Vyombo vya ulinzi na usalama kwa wanao chukulia majukumu yao serious, hawawezi pendezewa na utekaji wa kishamba unao endelea.

Alikadhalika si kweli kila anaetekwa serikali inahusika (kuna makaburi kadhaa, yamefukuliwa kwa waganga) hayo ni madhara ya ushirikina ndani ya jamii.

Hoja ya msingi na implication ya serikali ni wale wakosoaji wa serikali.

Ukimsikiliza Gwajima kwa makini ni speaker tu, ya taasisi zilizo nyuma yake ambao wamechoka (team ya ‘bi-tozo) hata akili ya kung’amua hilo hawana.

Kwa kifupi doła pia imechoshwa na senseless killings.

Shida ni kwamba, Samia hajui hii social problem ni yake. Ni kama vile hajui madaraka yake na social issues zinazokera.

Samia, Mdude hakuwa na madhara na wewe ya kuuliwa (inakera), Mdude ni alikuwa anafanya siasa mradi na yeye awemo.

Huu utekaji na kupoteza maisha ya watu kishamba inakera na inauma (hiyo ndio hoja ya Gwajima).

Jeshi la polisi uhalisia hawasuki na hayo matukio ndio maana wana kigugumizi,
Hata Mzee Kibao masikini mmemuuwa kwa kumdhalilisha sana haipendezi kabisa

Hii tabia ya kuwadhalilisha binadamu wenzio na baadaye kuwauwa Mungu atajibu soon
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...

View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAgc

onmam GWAJI amejitakia, sasa ni finito for good, huu ni mpango wa MUNGU,
"Watu kama hao ni manabii wa uongo, ni wafanyakazi wadanganyifu ambao wanajifanya kuwa mitume wa Kristo. Na hii si ajabu, kwa sababu hata shetani hujigeuza aonekane kama malaika wa nuru. Kwa hiyo si ajabu kama malaika wake shetani nao wanajigeuza waonekane kama watumishi wa haki. Mwisho wao utakuwa sawa na matendo yao" -(2 Wakorintho 13-15)
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...

View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg

unga kanisa. Chukua Ubunge. Chukua kadi ya chama. Aende anakotaka kwenda. Kiburi. Dharau. Mdini. Mtovu wa nidhamu. Mbaguzi. Anajificha kwenye “dini na haki” pale anapoona inamfaa yeye. Mnafiki! Tapeli mkubwa mcheza picha za ngono

Hakuna kanisa la ufufuo na uzima!! Ni utapeli mtupu wacha leo utapeli huo umakizike. Angekuwa anafufua angemfufua Magufuli aliyempa kura za Halima Mdee na kumleta Bungeni. Kwanza wananchi wa Kawe ametutapeli sana. AFUNGIWE tu TAPELI mkubwa
 
wajivue na watoa waraka pia.

hapo mzani utakuwa sawa.

vinginevyo gwajima anaonewa.
Siwezi kumtetea Tapeli huyu. Alipewa ubunge na Magufuli, na hakuwahi kumsema Magufuli mwanzilishi wa utekaji na uuaji. Halafu niko Kawe hakuna lolote alilofanya kama mbunge. Usikubali kutumika kupitisha agenda za tapeli
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!

Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?

Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...

Zaidi...

View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg

Awape ushirikiano gani wakati wao ndio wanateka na kuua??
 
Back
Top Bottom