THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
..Lissu alishambuliwa katika makazi yenye walinzi wa serikali.
..siku aliyoshambuliwa walinzi wa serikali walikuwa wameondolewa.
..tangu ameshambuliwa Lissu hajahojiwa na Polisi, na waliomshambuliwa hawajakamatwa.
..kwa hoja hizo tatu naweza kusema kwamba Lissu alishambuliwa na serikali.
..Watu mbalimbali ikiwemo Lissu mwenyewe, na Mwenyekiti mstaafu Mbowe, walisema serikali ilihusika na jaribio la mauaji.
Safi kabisa,twende taratibu taratibuu.
Uliskia sasa kipindi kile watu walisema chochote kwa jiwe juu ya Hilo?
Na pamoja na kwamba jiwe alisikika akitamka ikulu kuwa wanajeshi wanajua ukiwa uwanja wa mapambano kisha mwanajeshi mmoja akageuka nyuma anapaswa kufanywa Nini,the same day alitoa kauli hiyo lisu alishambuliwa.
Je,ulisikia mtu kama Gwajima au wengine kumtaja wazi wazi kuwa jiwe anahusika?if no why now then vidole vielekezwe kwa Samia na watu wa sampuli ya Gwajima?
Weka basi orodha za marais wote tuwahesabu. Au wale wa kwenye viroba enzi za Magufuli umewasahauWewe nawe ni mpuuzi tu, Magufuli ndio mwanzilishi wa utekaji! ulikuwa wapi enzi za Kikwete wakati Dkt Ulimboka anatekwa na kutupwa Mabwepande?Dkt Sengondo Mvungu alikatwa na mapanga kisa katiba mpya, Absolam Kibanda alitobolewa macho kisa alikuwa hakiandika habari za Kikwete kwenye gazeti la Tanzania daima,Mwangosi alitobolewa utumbo mchana kweupe kule Iringa kisa kuripoti habari za chadema,kwanza Magufuli walipitea watu wachache kulinganisha na Kikwete na Samia,sema tu Magufuli alikuwa na maadui wengi,sababu aliwabana mafisadi.
mihemko ni kitu nonsense kwenye mijadala muhimu gentleman 🐒Yaani angekuwa ametekws na kufirwa baba yako ungeropoka haya! Au mtoto wako akopotea utaharisha upumbavu huu.....!
PCBNaomba kukuuliza A level ulifanya combi gani?。
P
Safi kabisa,twende taratibu taratibuu.
Uliskia sasa kipindi kile watu walisema chochote kwa jiwe juu ya Hilo?
Na pamoja na kwamba jiwe alisikika akitamka ikulu kuwa wanajeshi wanajua ukiwa uwanja wa mapambano kisha mwanajeshi mmoja akageuka nyuma anapaswa kufanywa Nini,the same day alitoa kauli hiyo lisu alishambuliwa.
Je,ulisikia mtu kama Gwajima au wengine kumtaja wazi wazi kuwa jiwe anahusika?if no why now then vidole vielekezwe kwa Samia na watu wa sampuli ya Gwajima?
Utekaji na uuaji upo muda mrefu. Na ulikolezwa sana na Magufuli. Lakini Gwajima alletwa Bungeni na Magufuli na sasa ni miaka 4 hakuwahi kuongea bungeni wala kwenye NEC.Ni tapeli kweli tunakubali, jibuni hoja zake nyie watekaji na wauaji.
Au mmejiunga na Idi Amin Mama kujibu mipasho na michambo badala ya hoja?
Tuanzie hapa: Kuna utekaji au hakuna?
Sio ndio tunajadili utekaji na ufiraji...nakuuliza angetekwa baba yako ,halafu afirwe ungebaki na msimo.huu?mihemko ni kitu nonsense kwenye mijadala muhimu gentleman 🐒
Utekaji na uuaji wenyeUtekaji na uuaji upo muda mrefu. Na ulikolezwa sana na Magufuli. Lakini Gwajima alletwa Bungeni na Magufuli na sasa ni miaka 4 hakuwahi kuongea bungeni wala kwenye NEC.
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe na huyu ndiye mbunge aliyepewa kura za Halima Mdee. Kwa miaka 5 hajafanya chochote kwa jimbo la Kawe, na kweli anajuwa hatapitishwa ba chama.
Kelele zote hizo alizozileta sasa zimelenga mustakabali wa uchaguzi ujao mwezi Oktoba. Wananchi tusitumike kama mbeleko ya kumsaidia Gwajima apate ubunge, muache mwenyewe apambane na MFUMO
Tafuta wapuuzi wenzio wa kuwaambia huu ujinga, utekaji ulikuwepo muda mrefu? Hebu nipe mfano wa kiongozi au mwanachama yeyote wa upinzani aliyetekwa au kushambuliwa wakati wa Kikwete, Mkapa, Mwinyi na Nyerere.Utekaji na uuaji upo muda mrefu. Na ulikolezwa sana na Magufuli. Lakini Gwajima alletwa Bungeni na Magufuli na sasa ni miaka 4 hakuwahi kuongea bungeni wala kwenye NEC.
Mimi ni mkazi wa Jimbo la Kawe na huyu ndiye mbunge aliyepewa kura za Halima Mdee. Kwa miaka 5 hajafanya chochote kwa jimbo la Kawe, na kweli anajuwa hatapitishwa ba chama.
Kelele zote hizo alizozileta sasa zimelenga mustakabali wa uchaguzi ujao mwezi Oktoba. Wananchi tusitumike kama mbeleko ya kumsaidia Gwajima apate ubunge, muache mwenyewe apambane na MFUMO
Serikali ilichofanya ni kama imekubali kuwa yenyewe ndiyo inafanya utekaji.Na. M. M. Mwanakijiji
Sielewi kwanini suala la Askofu Gwajima limefanywa kubwa mno kivile. Hakuna jambo lolote ambalo alilisema kwenye kile kikao chake na waandishi wa habari tunaloweza kusema lilikuwa ni kubwa mno kiasi cha kuonekana "kuchochea" wananchi dhidi ya serikali. Suala la matukio ya utekaji yamekuwepo Tanzania kwenye mazingira ya kisiasa na kiuhalifu tu. Kwamba, kuna mtu serikalini amekereka sana inashangaza!
Yaani, kweli kabisa serikali imepata taarifa toka kwa Gwajima kuwa kuna watu zaidi ya 80 wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha? Kwamba, baadhi ya waliotoweka au kuuawa ni watu wenye mirengo ya kisasa za upinzani? Kweli kabisa, Jeshi la Polisi, TISS na vyombo vingine vya usalama havijui uwepo wa matukio haya?
Hivi, kulikuwa na ugumu gani wa kumuita Gwajima kama walivyofanya kwa wanasiasa wengine na kutaka awape ushirikiano? Mbona haya yamekuwa yakifanyika mara kwa mara? Naamini Gwajima amefanya kosa moja kubwa ambalo linanifanya nisimuonee huruma moja kwa moja; afanye analotakiwa kufanya nalo ni kujiuzulu Ubunge na UCCM lakini pia, kama anataka kuingia kwenye siasa basi hana budi kujivua Uchungaji ili asichanganye mahubiri ya kanisa na malalamiko ya kisiasa...
Zaidi...
View: https://www.youtube.com/watch?v=i1W5Qcmlibw&lc=UgxBxMwrQwEzDpB8uCl4AaABAg
Wewe mbwa mpumbavu hiyo inahalalisha kuwa hakuna utekaji na mauaji na upoteaji wa wanachama wa upinzani?Okay,a daughter of a biach will sound good.
Listen, alikuwa wapi Gwajima kipindi lisu anapigwa bullets nusu kufa in that regime?
Besides, kulikuwa na utekaji na vifo vingi sana kwa wakosoaji kipindi kile alikuwa wapi na Hawa wanaharakati uchwara?woote Hawa si walikimbia nchi?
Hakuna anaesupport utekaji,why aje Leo huyo askofu mwehu kuihusisha serikali na upumbavu wake anaousema?
Dr Ulimboka alitekwa kipindi gani? Na wewe eti unajiona ni great mind?? Kumbe ni mediocre tuUtekaji na uuaji wenye
Tafuta wapuuzi wenzio wa kuwaambia huu ujinga, utekaji ulikuwepo muda mrefu? Hebu nipe mfano wa kiongozi au mwanachama yeyote wa upinzani aliyetekwa au kushambuliwa wakati wa Kikwete, Mkapa, Mwinyi na Nyerere.
Hutumii akili kufikiria majira hii ndio utekaji umeshamiri na yeye ana haki ya kusema kama mtanzania. Aongee bungeni wakati spika kakataa hoja hii kuzungumzwa? Unatumia kiungo gani kufikiria?
Great minds discuss ideas
Simple minds discuss events
And foolish minds discuss people.
Na wewe una foolish mind badala ya kujadili hoja unamjadili mtoa hoja dalili za umbea na uanawake. Jadili hoja yake je uongo?
Ukijiona you are man enough njoo tuzungumzie hoja za kujenga taifa letu, majungu umbea peleka Lumumba
Alikuwa kiongozi au mwanachama wa chama gani cha upinzani pusi wewe wa CCMDr Ulimboka alitekwa kipindi gani? Na wewe eti unajiona ni great mind?? Kumbe ni mediocre tu
Wewe pimbi unajali kutekwa kwa wana CHADEMA tu?Alikuwa kiongozi au mwanachama wa chama gani cha upinzani pusi wewe wa CCM
Mpumbavu wewe kutekwa kwa viongozi wa kisiasa ndio chanzo cha chuki, niambie kwa nini mnawateka viongozi wa CHADEMA?Wewe pimbi unajali kutekwa kwa wana CHADEMA tu?