Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

Hizo habari nani kakuzuia wewe kuzipost hapa? Acha uvivu wa kutumia akili na kukaa muda wote ukilalamika Hovyo hovyo tu.
Ushawwhi ona cheo hiki akapata mwanamke huko marekani? Ndio mana wanaona bora kumpa mwendawazimu tirampu kuliko mwanamke.
 
Hilo tabasamu lake linasaidia nini wakati watu wanatekwa na kuuwawa na yeye yupo tu? Bora ajiuzulu, hatuhutaji tabasamu lake katika kipindi kibaya kama hiki.

Hatoshi.

SAMIA MUST GO!
 
Endelea kusifia mkuu, mwaka ndio huo unayoyoma tu
 
Hilo tabasamu lake linasaidia nini wakati watu wanatekwa na kuuwawa na yeye yupo tu? Bora ajiuzulu, hatuhutaji tabasamu lake kati kipindi kibaya kama hiki.

SAMIA MUST GO!
Kingekuwa ni kipindi kibaya ungepata wapi muda na nafasi ya kuja hata humu jukwaani kupost? CHADEMA wangepata wapi nafasi na muda wa kukusanyika pamoja na kufanya vikao vyao kwa amani na utulivu?

Umeona Marekani namna Trump anavyoendelea kukoswa koswa kuuwawa? Vipi ingekuwa ndio Tanzania?
 
Wewe ndio una hasira pyeeeπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ watu wanakuzomea huyooooo
Nani anayenizomea huyo ,wakati unaona watu Wanabubujikwa machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni mwao.
 
Ukiweka unafiki pembeni, ukiweka uchawa pembeni, utakubaliana na ukweli mchungu kwamba Jeshi la Polisi la Tanzania pamoja na Tiss ndio taasisi ambazo raia wengi zaidi hawana imani nazo kabisa, hazikubaliki Kamwe na raia wa kawaida kutokana na taasisi hizo kushukiwa moja kwa moja na vitendo vya utekaji, utesaji na mauaji vinavyoendelea hapa nchini.
 
Mimi sisifii bali naongea uhalisia tu.
Unasifia sana hata ishu ambazo hazifai kusifia, kijana wa kitanzania anaejitambua hayupo kama wewe Bora hata ungekuwa kama mwijaku au baba levo, Kila siku Huwa nakueleza kuwa humu unapoteza muda tu.....fursa za ccm hazitafutwi kwa kusifia hovyo hovyo Kila kitu...jaribu kutizama background za wote waliopata uteuzi mfano mkuu wa wilaya au ukuu wa mkoa mfano bwana mtanda wa mwanza amechangia katika miradi mingi ya serikali ndio maana Leo hii unamuona yuko pale alipo..
 
Watoto wa makanyaboya hao
Wazazi wao wale pangu pakavu
Mzazi anayejielewa hawezi kumuweka mtoto wake hapo akawa anapiga ngondi

Ova
 
hakika,
wameonyesha ukakamavu wa kizalendo wa kiwango cha juu kabisa dah !πŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ‘ŠπŸ’ͺπŸ’ͺ

ukiwatazama vizuri,
unaweza kuona inafaa hata wasambazwe maeneo tofauti tofauti nchini kudhibiti maandamano haramu ya Chadema na itapendeza Zaidi na inaonekana wanaweza kabisa
 
Tuwe na subira wakati huu ambao vyombo vyetu vinaendelea kufanya uchunguzi wa kina kumaliza viyendo hivyo kwa kuwakamata watu wote wanaohusika na kujihusisha na Vitendo hivyo.
 
CHADEMA ni lazima wafahamu ya hawana nafasi ya kufanya vurugu katika Taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…