Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Endelea kuumia kwa wivu wako.Labda wizi na kuteka.
Hamna walinzi hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuumia kwa wivu wako.Labda wizi na kuteka.
Hamna walinzi hapo.
😀😀😀Kama una hasira kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile.Kwenda huko. Na wewe ushakua mbea unatia aibu watu wa mbeya kama sativa wenye guts. Kenge mwenye madoa wewe
Ushawwhi ona cheo hiki akapata mwanamke huko marekani? Ndio mana wanaona bora kumpa mwendawazimu tirampu kuliko mwanamke.Hizo habari nani kakuzuia wewe kuzipost hapa? Acha uvivu wa kutumia akili na kukaa muda wote ukilalamika Hovyo hovyo tu.
Fanya fujo ndio ukione cha mtema kuni.Labda wizi na kuteka.
Hamna walinzi hapo.
Ungerudi darasani kujifunza kuandika.Ushawwhi ona cheo hiki akapata mwanamke huko marekani? Ndio mana wanaona bora kumpa mwendawazimu tirampu kuliko mwanamke.
Wewe ndio una hasira pyeee😃😃😃 watu wanakuzomea huyooooo😀😀😀Kama una hasira kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile.
Endelea kusifia mkuu, mwaka ndio huo unayoyoma tuNdugu zangu Watanzania,
Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla wake.
Tuna kila sababu ya kuona Taifa la kesho lipo imara na madhubuti kwelikweli,tuna kila sababu ya kuona kuwa Taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha kwa leo na hata kesho,tuna kila sababu ya kuona na kujivunia mipango endelevu ya kujenga uzalendo kuanzia kwa watoto mpaka wanakuwa katika kulilinda,kulitetea na kulipigania Taifa letu mpaka tone la Mwisho.
Leo Mkoani Kilimanjaro katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la polisi. ambako mgeni Rasmi ni Mama yetu na RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumetokea tukio la kugusa na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.ambapo imeshuhudiwa Gwaride la watoto likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu kwa ukakamavu na umakini wa hali ya juu sana na mkubwa sana Utafikiri makomandoo na askari wa JWTZ au Mossad ya Israel au CIA kutoka Marekani.
Namna watoto hao wakike kwa wakiume walivyopita kishupavu na kikakamavu mbele ya Mama yetu kipenzi na Amiri Jeshi Mkuu imemfanya mpaka ainuke kwenye kiti chake cha heshima akiwa amejaa tabasamu na furaha ya hali ya juu sana. Furaha aliyokuwa nayo Rais wetu ilikuwa ni kubwa mpaka unaona namna akitamani aendelee kusimama kuendelea kuwaangalia watoto hao walioteka ,kukosha na kukonga mioyo ya wengi sana.
Kwa hakika Tanzania yetu ipo imara na itaendelea kuwa imara na salama kwa sababu kila anayezaliwa Tanzania na kupulizwa na upepo anajikuta yupo tayari kulipigania Taifa hili na kuwa na moyo wa uzalendo.ndio sababu huwezi wadanganya watanzania kulibomoa Taifa lao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kingekuwa ni kipindi kibaya ungepata wapi muda na nafasi ya kuja hata humu jukwaani kupost? CHADEMA wangepata wapi nafasi na muda wa kukusanyika pamoja na kufanya vikao vyao kwa amani na utulivu?Hilo tabasamu lake linasaidia nini wakati watu wanatekwa na kuuwawa na yeye yupo tu? Bora ajiuzulu, hatuhutaji tabasamu lake kati kipindi kibaya kama hiki.
SAMIA MUST GO!
Nani anayenizomea huyo ,wakati unaona watu Wanabubujikwa machozi ya furaha utafikiri wamepakwa pilipili machoni mwao.Wewe ndio una hasira pyeee😃😃😃 watu wanakuzomea huyooooo
Mimi sisifii bali naongea uhalisia tu.Endelea kusifia mkuu, mwaka ndio huo unayoyoma tu
Ukiweka unafiki pembeni, ukiweka uchawa pembeni, utakubaliana na ukweli mchungu kwamba Jeshi la Polisi la Tanzania pamoja na Tiss ndio taasisi ambazo raia wengi zaidi hawana imani nazo kabisa, hazikubaliki Kamwe na raia wa kawaida kutokana na taasisi hizo kushukiwa moja kwa moja na vitendo vya utekaji, utesaji na mauaji vinavyoendelea hapa nchini.Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla wake.
Tuna kila sababu ya kuona Taifa la kesho lipo imara na madhubuti kwelikweli,tuna kila sababu ya kuona kuwa Taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha kwa leo na hata kesho,tuna kila sababu ya kuona na kujivunia mipango endelevu ya kujenga uzalendo kuanzia kwa watoto mpaka wanakuwa katika kulilinda,kulitetea na kulipigania Taifa letu mpaka tone la Mwisho.
Leo Mkoani Kilimanjaro katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la polisi. ambako mgeni Rasmi ni Mama yetu na RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumetokea tukio la kugusa na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.ambapo imeshuhudiwa Gwaride la watoto likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu kwa ukakamavu na umakini wa hali ya juu sana na mkubwa sana Utafikiri makomandoo na askari wa JWTZ au Mossad ya Israel au CIA kutoka Marekani.
Namna watoto hao wakike kwa wakiume walivyopita kishupavu na kikakamavu mbele ya Mama yetu kipenzi na Amiri Jeshi Mkuu imemfanya mpaka ainuke kwenye kiti chake cha heshima akiwa amejaa tabasamu na furaha ya hali ya juu sana. Furaha aliyokuwa nayo Rais wetu ilikuwa ni kubwa mpaka unaona namna akitamani aendelee kusimama kuendelea kuwaangalia watoto hao walioteka ,kukosha na kukonga mioyo ya wengi sana.
Kwa hakika Tanzania yetu ipo imara na itaendelea kuwa imara na salama kwa sababu kila anayezaliwa Tanzania na kupulizwa na upepo anajikuta yupo tayari kulipigania Taifa hili na kuwa na moyo wa uzalendo.ndio sababu huwezi wadanganya watanzania kulibomoa Taifa lao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Poor you!Kingekuwa ni kipindi kibaya ungepata wapi muda na nafasi ya kuja hata humu jukwaani kupost? CHADEMA wangepata wapi nafasi na muda wa kukusanyika pamoja na kufanya vikao vyao kwa amani na utulivu?
Umeona Marekani namna Trump anavyoendelea kukoswa koswa kuuwawa? Vipi ingekuwa ndio Tanzania?
Unasifia sana hata ishu ambazo hazifai kusifia, kijana wa kitanzania anaejitambua hayupo kama wewe Bora hata ungekuwa kama mwijaku au baba levo, Kila siku Huwa nakueleza kuwa humu unapoteza muda tu.....fursa za ccm hazitafutwi kwa kusifia hovyo hovyo Kila kitu...jaribu kutizama background za wote waliopata uteuzi mfano mkuu wa wilaya au ukuu wa mkoa mfano bwana mtanda wa mwanza amechangia katika miradi mingi ya serikali ndio maana Leo hii unamuona yuko pale alipo..Mimi sisifii bali naongea uhalisia tu.
Acha wivu dada mtu hata akifurahi unaweka nongwaNdio mambo anayoyaweza hayo. Siku nyingine mwanamke kua kiongozi asitokee pwani jamani.
hakika,Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla wake.
Tuna kila sababu ya kuona Taifa la kesho lipo imara na madhubuti kwelikweli,tuna kila sababu ya kuona kuwa Taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha kwa leo na hata kesho,tuna kila sababu ya kuona na kujivunia mipango endelevu ya kujenga uzalendo kuanzia kwa watoto mpaka wanakuwa katika kulilinda,kulitetea na kulipigania Taifa letu mpaka tone la Mwisho.
Leo Mkoani Kilimanjaro katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la polisi. ambako mgeni Rasmi ni Mama yetu na RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumetokea tukio la kugusa na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.ambapo imeshuhudiwa Gwaride la watoto likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu kwa ukakamavu na umakini wa hali ya juu sana na mkubwa sana Utafikiri makomandoo na askari wa JWTZ au Mossad ya Israel au CIA kutoka Marekani.
Namna watoto hao wakike kwa wakiume walivyopita kishupavu na kikakamavu mbele ya Mama yetu kipenzi na Amiri Jeshi Mkuu imemfanya mpaka ainuke kwenye kiti chake cha heshima akiwa amejaa tabasamu na furaha ya hali ya juu sana. Furaha aliyokuwa nayo Rais wetu ilikuwa ni kubwa mpaka unaona namna akitamani aendelee kusimama kuendelea kuwaangalia watoto hao walioteka ,kukosha na kukonga mioyo ya wengi sana.
Kwa hakika Tanzania yetu ipo imara na itaendelea kuwa imara na salama kwa sababu kila anayezaliwa Tanzania na kupulizwa na upepo anajikuta yupo tayari kulipigania Taifa hili na kuwa na moyo wa uzalendo.ndio sababu huwezi wadanganya watanzania kulibomoa Taifa lao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tuwe na subira wakati huu ambao vyombo vyetu vinaendelea kufanya uchunguzi wa kina kumaliza viyendo hivyo kwa kuwakamata watu wote wanaohusika na kujihusisha na Vitendo hivyo.Ukiweka unafiki pembeni, ukiweka uchawa pembeni, utakubaliana na ukweli mchungu kwamba Jeshi la Polisi la Tanzania pamoja na Tiss ndio taasisi ambazo raia wengi zaidi hawana imani nazo kabisa, hazikubaliki Kamwe na raia wa kawaida kutokana na taasisi hizo kushukiwa moja kwa moja na vitendo vya utekaji, utesaji na mauaji vinavyoendelea hapa nchini.
CHADEMA ni lazima wafahamu ya hawana nafasi ya kufanya vurugu katika Taifa letu.hakika,
wameonyesha ukakamavu wa kizalendo wa kiwango cha juu kabisa dah !👊👊👊💪💪
ukiwatazama vizuri,
unaweza kuona inafaa hata wasambazwe maeneo tofauti tofauti nchini kudhibiti maandamano haramu ya Chadema na itapendeza Zaidi na inaonekana wanaweza kabisa