ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
π₯π₯ Yes Yes japo wanawake tuanaopiga chuma tunaonekana je sijui but I don't careHongera basi Jitahidi kufanya kile anachopenda.
Kwanza ni passion
Pili consistency
Alafu Transformation....
See you at the Top
Jibu ni hili huna haja ya jibu lingine.but I don't care
Nimekwambia nilikua overweight so nilianza program ya gym kwa ajili ya kupungua na kukaza nyamaJibu ni hili huna haja ya jibu lingine.
Ila unapiga kutengeneza na kujaza misuli au ? Au ni kutafuta mwili mkakamavu na kishepu cha mazoezi??
Yule ni dada au ni mkaka jamaniπ€£π€£Kuna dada anaitwa loveness unamfahamu?
Hahahaha π ulinistua nikasema game over kama ivo ni sawa Dada angu.Nimekwambia nilikua overweight so nilianza program ya gym kwa ajili ya kupungua na kukaza nyama
Na lengo kubwa niwe mkakamavu
But nipo na look nzuri sio kama jana dume still I'm a girl π
Yule ni dada au ni mkaka jamaniπ€£π€£
Wee naanza je sa nitabandika je kucha nikiwa kama love π€£π€£Hahahaha π ulinistua nikasema game over kama ivo ni sawa Dada angu.
na unakua mzembe mzembe plus kuzeeka fasterOver weight inavuta kisukari, pressure na maumivu ya magoti na uti wa mgongo..
Yule labda avue nione mbali na hapo nooo.
Hongera sana yule loveness yule mmmh hapana kwakweli
Hao wanao enda gym ikimpa jembe alime tuta 3 hamalizi.Sisi wengine tunaoshinda shambani tukilima na kutokwa na jasho kutwa nzima tunakomenti wapi, au hayo sio mazoezi?
Na wanajifanya wana misuli na nguvu nyingiHao wanao enda gym ikimpa jembe alime tuta 3 hamalizi.
Siwafagiliagi na mavyuma yao ya mchongo tuNa wanajifanya wana misuli na nguvu nyingi
Kuchapa mbususu uhakka baada ya kupumnzika inaufanya mwili kuwa mwepesi sanaUzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito.
Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week?
1. Kupumzika sana (zaidi ya masaa 10)
2. Unatumia dawa? Zipi?
3. Unatumia suppluliments? Zipi?
4. Hufanyi lolote mwili unajiendesha tu...
Karibuni.
Mahi nielekeze jinsi ya kufanya mazoezi vizuri..!! Yani mi nikifanya lazima nisikie maumivu halafu nableed sana..!!Anza taratibu fuata muongozo
Pia mara nyingi maumivu husababishwa na ufanyaji vibaya wa mazoezi
Hua unafanya mazoezi ganiMahi nielekeze jinsi ya kufanya mazoezi vizuri..!! Yani mi nikifanya lazima nisikie maumivu halafu nableed sana..!!
Ya kuweka mwili vizuri, lakini zile squat na za kukaza nyama za tumbo naona kama zinanipa maumivu..!!Hua unafanya mazoezi gani
Ni kiwa na maana kwa lengo gani diha?
Hatari sana mzee,kama mnazi sana wa mazoezi achana na machuma kuwa tu unakimbia KMs zako kadhaa kwa siku hukosi kuingiza kitu mwilini lengo la mazoezi ni kuimarisha afya siyo kuiharibu.Ni kweli niliwahi kunyanyua chuma uzito mkubwa nilipata shida kwenye kibofu cha mkojo but now nipo ok
Beba uzito mdogo ukiwa unaanza mahi pia anza na mazoezi ya viungo kabra hujafanya squat ikimaliza nyoosha viungoYa kuweka mwili vizuri, lakini zile squat na za kukaza nyama za tumbo naona kama zinanipa maumivu..!!
Yani nikianza period nableed mpaka nahisi damu itaisha mwilini..!!
Nikiacha na hiyo hali inakata.
Ilikua kosa tu siwezi kuacha chuma nitapmzika tu napenda mnooHatari sana mzee,kama mnazi sana wa mazoezi achana na machuma kuwa tu unakimbia KMs zako kadhaa kwa siku hukosi kuingiza kitu mwilini lengo la mazoezi ni kuimarisha afya siyo kuiharibu.
DaahπππKuchapa mbususu uhakka baada ya kupumnzika inaufanya mwili kuwa mwepesi sana
Mkuu...Kutumia dawa yoyote ili kupunguza maumivu baada ya mazoezi nahisi sio sahihi.
Anza mazoezi taratibu kadri muda unavyoenda utajikuta unakuwa perfect zaidi.
Ukiona unapata maumivu makali baada ya mazoezi basi kuna kitu unakosea
Either kama unakimbia basi huna vifaa sahihi kama gym basi unaforce uzito.
Mimi kila jumamosi natembea 25km kwa wiki mapumziko mara mbili.
Sipendi gym ni mtu wa walking running na viungo.
Ila nina mpango wa kuanza Gym next few days
Why aache?Hatari sana mzee,kama mnazi sana wa mazoezi achana na machuma kuwa tu unakimbia KMs zako kadhaa kwa siku hukosi kuingiza kitu mwilini lengo la mazoezi ni kuimarisha afya siyo kuiharibu.