Gym "guys" je ni njia gani unatumia kupunguza uchovu baada ya mazoezi kupata matokeo?

Kama unafanya weight training basi stretching baada ya mazoezi na kwenye recovery days inasaidia sana.
Upo sahii.

Pia aina ya chakula inasaidia pia. Ukifanya mazoezi unahitaji protini nyingi kwa ajili ya recovery ya misuli.

Magnesium kwa ajili ya recovery na kulala vyema.

Vitamini zote.

So pendelea kula vyakula vyenye virutubiaho hvyo.
 
Mim huuacha mwili ujiendeshe wenyew naoga naendelea na mambo mengne.

Na mazoezi mwili ukiuma kama nanyanyua vyuma, mim hua ndo nakaza make matokeo huanza kuonekana.

Usiombe uwe na homa ndan ya mwil haija amka.
 
Ufanye fujo kisa?

Mie mambo haya ya kufanya mazoezi na mtoto wa kike siwezi, yaani akili zangu zikihama tu lazima DUDUKILA lisimame BENDERA NUSU MLINGOTI..

sasa mambo ya fedheha haya siyawezi
Acha uzinzi 😹
 
Wengine mnaezaje kufanya mazoezi gym sijui kukimbia?

Mimi mazoezi ninayoweza ni ya kitandani tu na kuogelea lkn mwili wangu upo smart βœ…οΈ
Kwichi kwichi ni zoezi zuri....

Ila kuogelea ni balaa zaidi, ni moja kati ya mazoezi mazuri kabisa, yanashughulisha karibia kila kiungo cha mwili..
Ukiachana na kucheza muziki, basi ni kuogelea kisha ndio kukimbia.
 
Sema mkuu kwa tabora kutembea km 25 si utajikuta maporini kabisa???

Angalia usije kuliwa na simba
 
Ukitoka zoezi, pumzika kidogo angalau 15 minutes. Oga maji ya vuguvugu. Chukua ndizi mbivu mbili menya katakata na tango. Kula hii husaidia mwili kurudisha nishati na maji yaliyotumika wakati wa mazoezi. Kisha endelea na mishe ndogo ndogo mpaka utapopata chakula cha usiku au asubuhi. Usitumie eneji au kahawa hazina msaada hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…