Habari, gari kama hii naipata wapi kwa hapa bongo au hata kuagiza 0 km

Nenda Maktaba street karibu na city center wanaitwa CMC Automobiles Ltd, number yao 255 677 111 777, utapata zero KM with warranty, hao ni official distributor for Land Rover and Range Rover vehicles in Tanzania
 
Ndio wapi huko mimi sio mtu wa kuzurura sana kaka
 
Anapajua🀣🀣
Jamaa ni mlinzi tu huko arusha.
 

Agiza CMC. Acha maneno maneno...cash milion 800?

Kweli wajinga ndio waliwao...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukifikia level ya kununua gari kama LC 300 ya kutembelea huwezi kuja kuomba msaada wa fake IDs humu ili ununue RR...

Kuna level ukifika, watu wako wa karibu, circle yako na connections zinakupa urahisi wa kupata vitu ambavyo wengi hawawezi kupata...

Namaanisha huna lc 300, achana na 200 series...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…