Habari, gari kama hii naipata wapi kwa hapa bongo au hata kuagiza 0 km

Mkuu hata ukiwa unatembea kitaav ukikutana na 4yr old boy anasema 'iye Gali angu' unamuitikia na kunpongeza.
 
Mkuu hata ukiwa unatembea kitaav ukikutana na 4yr old boy anasema 'iye Gali angu' unamuitikia na kunpongeza.
Tushapigana sana kugombania Scania one one za Mwanamboka
Hapana bro kama ningetaka used ningechukua mitambo nataka BBRAND NEW!! Kama ipo mpya niambie nije huko bongo kwa sasa nipo dubai kikqzi
Upo Dubai kikazi unaulizia gari mpya Gongolamboto kweli,
 
Huu unyama nilikutana nao goba afu kibabu flani tu ivi ndo kinaendesha daaah. Ilibidi niingie gugo chap niangalie hii kampuni ni yawapi. Nimeipenda sana aisee
View attachment 3661373
Hii (Jetour T2 )tulipiga hesabu from china mpaka kuitoa na taxes zote ni kama 40,000$,na ukinunua hybrid hulipi excise duty 0%,petrol utalipa extra 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…