Habari, gari kama hii naipata wapi kwa hapa bongo au hata kuagiza 0 km

Sasa hivi wanauza vocha hadi za mia tano mwaka 98 nilitafuta vocha ya 5000 nilikosa maduka yote wanaanzia 10,000 kwenda mbele niliona watu wana utani sana aisee..
Ni sahihi mkuu,niliwahi kuishi na wazee wangu,ndio maana nikasema hadhi ya obey sasa imeshuka sana

Zamani ukisikia mtu anaishi osterbey unajua kweli huko ni ushuani


Na sasa sehemu nyingi zimekuwa za kishua kwahiyo hakuna uspesho wowote kwasasa,kilichobaki ni jina tu kubwa basi
 
Imetumia gia kubwa kwenye kitonga.

Kifupi hatongozwi hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…