Kama na wewe upo kwenye field ya Utabibu basi badilikeni, acheni mazoea kama polisi ambao wanahitaji aliepata ajali kufuata PF3 ndipo akapate matibabu hospitali ila hawaoni umuhimu wa kuwepo kwa dawati inayohusika na PF3 huko hospitali.Komaa.:
1. Hospitali haina jukumu la kufatilia majibu ulopewa ulete. Ni wajibu wako.
2. Huruhusiwi kutoa taarifa kwa wasiohusika. Na inaonekana alifanya hilo. Bora angekiri kwamba kiutunduutundu alitaka kuona kilichomo.
Niliposema kasahau ni wapi? Na kama kasahau,kasahau kwake haijabaki sospitali.
Wauguzi hawana uelewa. Hospitali nzima walikosa mtu wa kuwaelekeza?
Jeuri zenu ndo zinazopelekea matatizo kama hayo. Kikubwa narudia,humu kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kumsaidia akapata tiba,ila kama kibri bado kipo pale pale,nenda kamsaidie
Perekeni Sera zibadilishwe, achaneni na ubabe na mazoea...mgonjwa anaumwa ugonjwa inayoweza kusababisha ugonjwa wa kusahau au kupoteza fahamu alafu Daktari anamuuliza mgonjwa taarifa iliyotoka kwa Daktari mwenzie ambae kituo chake kinafamika.
Uko Uingereza tokea 1970 walishaunganisha maduka yote ya Madawa ili ukinunua dawa duka x taarifa zako naweza kuzipata kupitia duka y ili kujua ulinunua kwenda kuzifanyia nini na mgonjwa wako alikuwa nani na anaishi wapi.
Hiyo Wizara ya afya bure kabisa, yaani sijui walichofundishwa hawawezi kujiongeza kutokana na mazingira.