Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Habari kaka Magical power mimi ni mmoja wapo ninae fatilia sana Uzi zako pamoja na ushauri wako, mimi ni binti wa miaka 24 nlikuwa kwenye mahusiano lakini hayakuwa ya amani hivi baada ya kuondoka kwenye hayo mahusiano nilikaa mwaka mzima bila kujiingiza kwenye mahusiano sasa kuna kaka nimetokea kumpenda na ni rafiki wa mpenzi ambaye nilisha achana naye, naomba kujua ni mbinu gani ambazo naweza kutumia ili kama inawezekana nitumie niweze kumpata huyu.
Kutoka Kwa mdau anaomba mbinu wale wazee wa ukali melete mbinu apa dada aopoe chake😂😂🙏🏽
Kutoka Kwa mdau anaomba mbinu wale wazee wa ukali melete mbinu apa dada aopoe chake😂😂🙏🏽