Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Mfalme huwa hasafiri pekee ake.Lazima wasindikizaji wawepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Corona si mchezo mkuuSalaam Wakuu,
Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli.
Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na wengine kuzimia.
Nmempigia Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke kumuuliza juu ya vifo hivi, baada ya kujitambulisha tu, akanikatia simu. Hivyo nmeshindwa kujua Idadi kamili.
Hapa chini ni baadhi ya watu waliotajwa kupoteza maisha kenye msongamano Uwanja wa Uhuru Temeke Dar es Salaam
TANZIA!
TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MWALIMU JANE NGONDE (MWALIMU MKUU WA S.M MGEULE) KILICHOTOKEA LEO MCHANA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA ALIPOKUWA AKISHIRIKI KUTOA SALAMU ZA MWISHO. TARATIBU ZA MAZISHI ZINAFANYIKA NA TUTAENDELEA KUJULISHANA. AIDHA TUNAITAARIFU KAMATI YA MAAFA- UVEMI KUENDELEA NA TARATIBU ZETU. R. I.P
Nyingine:
TANZIA: Mboka Nsobi Minga amefiwa na mkewe Lidia Shomari Minga ambaye leo tarehe 21/3/2021 asubuhi akiwa mzima wa afya alikwenda uwanjani kuaga mwili wa Hayati John Joseph Pombe Makufuli. Kifo chake kimesababishwa na kukanyagwa na umati wa watu uwanjani hapo. Mwili wake umehifadhiwa hospitali ya Temeke. Msiba upo Kilwa road Barracks
View attachment 1731031
Lidia Shomari
DahHao ni physical victims wa msongamano. Sijui viral victims wa msongamano itakuwaje maana barakoa hazikupewa nafasi yake?
Mungu aliponye hili taifa liondokane na usukule wa hii miaka 5 iliyopita na awarudishie waja wake fahamu zao wajitambue kuwa wao ni binadamu hai wanaoishi!
kila mtu akifuatilia kwenye runinga nani atakuwepo uwanjani sasa?Dodoma na kwingineko wasirudie huo ujinga, sio lazima uende. Kaa nyumbani utulie fuatilia kwenye runinga.
Wazee wa kuficha maradhi kazini, halafu kifo kina waumbua.mleta mada tuwekee vyeti vyao vya vifo tuamani tasrifa zako kama vinasomeka wamekufa kwa msongamano.
Si vizuri kutangaza kifo cha mtu bila kuambatanisha death certificate
Kwa hiyo ajali zikitokea barabarani polisi wakitoa taarifa huwa na death certifacate?
Watu walioko eneo la tukio au ndugu zao wasiseme neno mpaka death certificate?
Jamaa lina roho mbaya na kikatili katili sana. Ukimsoma hapo analalamika why taarifa za waliokufa au kuumizwa zitangazwe? Anaamini ktk usiri ili aje awalaumu wanyetishaji huku akigombea maiti ambayo alificha maradhi yake! Yehodaya Atakuwa Madelu huyu siyo bure.Hv unadhn ana akili huyu zombi????
Bhapon'yege kikoloNiko kwetu Mwankenja naangalia kwenye luninga?
Kuna mmoja jana alikuwa na kichanga kama cha miezi miwili, walimkandamiza, yaan ni aliminywa firigisi na utumbo mi nilijua anakufaa haloo usiombe [emoji848][emoji848] mi na rafiki yangu tukamnyang'anya mtoto..alivyochoropoka hapo tukamnasa vibao vitatu tukamrudishia mtoto wake, alikuwa anatafuta upenyo wa kurudi home, maana si kwa ukunga ule kwa mminyo wa kufa mtuWatu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Mimi nilishangaa kina Mama na watoto huko kwenye misongamano
Hivi hawana wanaume hawa wanawake maana majority wamevaa Madera wanaenda kutafta sifa za kijinga kuzurula na watoto wadogo. I'm sure hapo uhuru wamekufa wengiKuna mmoja jana alikuwa na kichanga kama cha miezi miwili, walimkandamiza mi na rafiki yangu tukamnyang'anya mtoto..alivyochoropoka hapo tukamnasa vibao vitatu tukamrudishia mtoto wake, alikuwa anatafuta upenyo wa kurudi home
Wengi desperate pale, ila wabongo ni wadaku sana mweeh!Hivi hawana wanaume hawa wanawake maana majority wamevaa Madera wanaenda kutafta sifa za kijinga kuzurula na watoto wadogo. I'm sure hapo uhuru wamekufa wengi
Umefurahi maana umepata mada ya kumnang’a Marehemu kama kawaida yenu
Wengi ilikuwa umbeya tu, Mimi msiba wakiongozi hata mda ya kwenda sina ni rahisi hata lolote kutokea na ule misongamanoWengi desperate pale, ila wabongo ni wadaku sana mweeh!