Burungutu sandawesu
Senior Member
- Sep 11, 2022
- 153
- 261
Muajiriwa mpyaWe unataka kufanya nn hasa
Mashamba nje nje kama unapenda kulima, vya kula bei Rahisi kama mnunuzi wa mazao, watu wa huko ni wavivu kufikiri tumia uvivu wao kupata mishe saa Moja asubuhi wanaume wapo road kucheza bao wanawake wao pia ni wavivu Sana na wanapenda Sana chini angalia Sana na uwe makini na kinachokupeleka. WEWE NI ME AU KE EMBU NJOO PMMuajiriwa mpya
Asante sana , ni kijana wa kiume, vipi kuhusu nyumba za kupanga na sehemu nzuri ya kuishi, gharama za chumba na sebule self contained au kwa ufpi vyumba vizuri, asanteMashamba nje nje kama unapenda kulima, vya kula bei Rahisi kama mnunuzi wa mazao, watu wa huko ni wavivu kufikiri tumia uvivu wao kupata mishe saa Moja asubuhi wanaume wapo road kucheza bao wanawake wao pia ni wavivu Sana na wanapenda Sana chini angalia Sana na uwe makini na kinachokupeleka. WEWE NI ME AU KE EMBU NJOO PM
Sehemu nzuri ya kuishi ? Sidhani !!Handeni bado ni wilayani , hakujachamgamka sana .Asante sana , ni kijana wa kiume, vipi kuhusu nyumba za kupanga na sehemu nzuri ya kuishi, gharama za chumba na sebule self contained au kwa ufpi vyumba vizuri, asante
Asante sana ndugu yangu,je gharama za vyumba au nyumba zikoje, asanteSehemu nzuri ya kuishi ? Sidhani !!Handeni bado ni wilayani , hakujachamgamka sana .
Unaweza kupata sehemu safi ya kuridhisha kupanga ila usiweke matarajio makubwa sana , handeni bado ni shamba.
Huwa napita tu hapo kwa mishe zangu nikielekea kilindi na kiteto, sijawahi kupanga , ila kwa kupaangalia tu hapawezi kuwa na nyumba ghali za kupangaAsante sana ndugu yangu,je gharama za vyumba au nyumba zikoje, asante
Kaka inategemea upo mtaa gan nyumba za kupanga zipo hadi chumba 15, kwa mwezi, kwingine ni kijijini kweli kweli hadi nyumba zao ni za nyasi Wala hawawazi umaskini wa huko unachangiwa na uvivu ila kama unapiga kazi Hela zipo,Asante sana , ni kijana wa kiume, vipi kuhusu nyumba za kupanga na sehemu nzuri ya kuishi, gharama za chumba na sebule self contained au kwa ufpi vyumba vizuri, asante
Sahihi kabisa!Kaka inategemea upo mtaa gan nyumba za kupanga zipo hadi chumba 15, kwa mwezi, kwingine ni kijijini kweli kweli hadi nyumba zao ni za nyasi Wala hawawazi umaskini wa huko unachangiwa na uvivu ila kama unapiga kazi Hela zipo,
Asante proton thanks for the tipsKaka inategemea upo mtaa gan nyumba za kupanga zipo hadi chumba 15, kwa mwezi, kwingine ni kijijini kweli kweli hadi nyumba zao ni za nyasi Wala hawawazi umaskini wa huko unachangiwa na uvivu ila kama unapiga kazi Hela zipo,
Thanks broHuwa
Huwa napita tu hapo kwa mishe zangu nikielekea kilindi na kiteto, sijawahi kupanga , ila kwa kupaangalia tu hapawezi kuwa na nyumba ghali za kupanga
Nitakuepo Handeni mjini na si Mkata, kwa kuzingatia hapo mazingira ya halmashauri ya wilaya na mji handeni mjini ningependa maoni yako kwa hali ya hapo asante @ YoteInategemea unatarajia kuishi wapi maana kuna Halmashauri mbili kiutawala ambazo ni Halmashauri ya Wilaya na Mji Handeni, Ukiwa Wilaya eneo la Mkata limechangamka kidogo ila Maji ni changamoto na nyumba za kupanga ni shida kidogo kwa upande wa Mji nyumba/vyumba vya kupanga vipo vizuri ukiwa maeneo ya Chanika, Mdoe na Kwenjugo
Hali ya nn kwa mfano? Changamoto kubwa ya handeni ni upatikanaji wa maji ya uhakika mara nyingi maji yasiyokuwa na chumvi ndoo ya lita 20 ni Tshs 500 ambapo yanatokana na visima vya kuvuna maji ya mvua au shs 300 kutoka kwenye mabwawa yaliyochimbwa na Serikali.Ukipata nyumba/chumba mitaa ya vibaoni, Kivesa, Apiloto usikubali pamejaa sana wenyeji vigodolo kila wakati na udokozi wa rejarejaNitakuepo handeni mjini na si mkata, kwa kuzingatia hapo mazingira ya halmashauri ya wilaya na mji handeni mjini ningependa maoni yako kwa hali ya hapo asante @ Yote
Asante sana ndugu, na vipi gharama ya kupanga nyumba nzima au chumba na sebuleHali ya nn kwa mfano? Changamoto kubwa ya handeni ni upatikanaji wa maji ya uhakika mara nyingi maji yasiyokuwa na chumvi ndoo ya lita 20 ni Tshs 500 ambapo yanatokana na visima vya kuvuna maji ya mvua au shs 300 kutoka kwenye mabwawa yaliyochimbwa na Serikali.Ukipata nyumba/chumba mitaa ya vibaoni, Kivesa, Apiloto usikubali pamejaa sana wenyeji vigodolo kila wakati na udokozi wa rejareja
Thank you craig, yu are the bestMkuu Handeni Sehemu salama na Rafiki kuishi, utanishukuru baadae. Kwanza una uwezo wa kuja dar na kurudi kwa siku kuna chombo KSK luxury hiyo full ac. Ni mwendo wa saa tano TU. Handeni 🔛 Dar
Nyama choma kila jumamosi (Nderema) mnadani network zote zipo Hali ya hewa safi. Chakula Bei chini Sana. lami IPO center ya Arusha Moro na Dom. Benki zipo mahitaji yote yapo. Ukiona mpaka wahindi wapo wanaishi jua mazingira Rafiki Sana.
Panga pale chanika au chogo nyumba ni mpya kiwanja kizuri kukuliwaza ni magari mabovu. Pale kwenjugo Muonekano wa mlima handeni safi...