Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

Burungutu sandawesu

Senior Member
Joined
Sep 11, 2022
Posts
153
Reaction score
261
Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
 
Muajiriwa mpya
Mashamba nje nje kama unapenda kulima, vya kula bei Rahisi kama mnunuzi wa mazao, watu wa huko ni wavivu kufikiri tumia uvivu wao kupata mishe saa Moja asubuhi wanaume wapo road kucheza bao wanawake wao pia ni wavivu Sana na wanapenda Sana chini angalia Sana na uwe makini na kinachokupeleka. WEWE NI ME AU KE EMBU NJOO PM
 
Asante sana , ni kijana wa kiume, vipi kuhusu nyumba za kupanga na sehemu nzuri ya kuishi, gharama za chumba na sebule self contained au kwa ufpi vyumba vizuri, asante
 
Sehemu nzuri ya kuishi ? Sidhani !!Handeni bado ni wilayani , hakujachamgamka sana .
Unaweza kupata sehemu safi ya kuridhisha kupanga ila usiweke matarajio makubwa sana , handeni bado ni shamba.
 
Asante sana ndugu yangu,je gharama za vyumba au nyumba zikoje, asante
 
Asante sana , ni kijana wa kiume, vipi kuhusu nyumba za kupanga na sehemu nzuri ya kuishi, gharama za chumba na sebule self contained au kwa ufpi vyumba vizuri, asante
Kaka inategemea upo mtaa gan nyumba za kupanga zipo hadi chumba 15, kwa mwezi, kwingine ni kijijini kweli kweli hadi nyumba zao ni za nyasi Wala hawawazi umaskini wa huko unachangiwa na uvivu ila kama unapiga kazi Hela zipo,
 
Sahihi kabisa!
 
Asante proton thanks for the tips
 
Inategemea unatarajia kuishi wapi maana kuna Halmashauri mbili kiutawala ambazo ni Halmashauri ya Wilaya na Mji Handeni, Ukiwa Wilaya eneo la Mkata limechangamka kidogo ila Maji ni changamoto na nyumba za kupanga ni shida kidogo kwa upande wa Mji nyumba/vyumba vya kupanga vipo vizuri ukiwa maeneo ya Chanika, Mdoe na Kwenjugo
 
Nitakuepo Handeni mjini na si Mkata, kwa kuzingatia hapo mazingira ya halmashauri ya wilaya na mji handeni mjini ningependa maoni yako kwa hali ya hapo asante @ Yote
 
Nitakuepo handeni mjini na si mkata, kwa kuzingatia hapo mazingira ya halmashauri ya wilaya na mji handeni mjini ningependa maoni yako kwa hali ya hapo asante @ Yote
Hali ya nn kwa mfano? Changamoto kubwa ya handeni ni upatikanaji wa maji ya uhakika mara nyingi maji yasiyokuwa na chumvi ndoo ya lita 20 ni Tshs 500 ambapo yanatokana na visima vya kuvuna maji ya mvua au shs 300 kutoka kwenye mabwawa yaliyochimbwa na Serikali.Ukipata nyumba/chumba mitaa ya vibaoni, Kivesa, Apiloto usikubali pamejaa sana wenyeji vigodolo kila wakati na udokozi wa rejareja
 
Asante sana ndugu, na vipi gharama ya kupanga nyumba nzima au chumba na sebule
 
Mkuu Handeni Sehemu salama na Rafiki kuishi, utanishukuru baadae. Kwanza una uwezo wa kuja dar na kurudi kwa siku kuna chombo KSK luxury hiyo full ac. Ni mwendo wa saa tano TU. Handeni 🔛 Dar.
images (18).jpeg

Nyama choma kila jumamosi (Nderema) mnadani network zote zipo Hali ya hewa safi. Chakula Bei chini Sana. lami IPO center ya Arusha Moro na Dom. Benki zipo mahitaji yote yapo. Ukiona mpaka wahindi wapo wanaishi jua mazingira Rafiki Sana.

Panga pale chanika au chogo nyumba ni mpya kiwanja kizuri kukuliwaza ni magari mabovu. Pale kwenjugo Muonekano wa mlima handeni safi...
 
Mkuu Handeni Sehemu salama na Rafiki kuishi, utanishukuru baadae. Kwanza una uwezo wa kuja dar na kurudi kwa siku kuna chombo KSK luxury hiyo full ac. Ni mwendo wa saa tano TU. Handeni 🔛 Dar

Nyama choma kila jumamosi (Nderema) mnadani network zote zipo Hali ya hewa safi. Chakula Bei chini Sana. lami IPO center ya Arusha Moro na Dom. Benki zipo mahitaji yote yapo. Ukiona mpaka wahindi wapo wanaishi jua mazingira Rafiki Sana.

Panga pale chanika au chogo nyumba ni mpya kiwanja kizuri kukuliwaza ni magari mabovu. Pale kwenjugo Muonekano wa mlima handeni safi...
Thank you craig, yu are the best
 
Back
Top Bottom