FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Magu kaanzisha samia kamalizia wananchi wanalipia mladi huo hiweje usimama na magu peke yake?Sitoacha Kusimama na Hayati JPM.
Tena anajifanya Mjuaji mpk kwa Wazungu! Ule Ujinga wake angetufanyia sisi Wamatumbi wenzake sio WazunguJamaa alikuwa na mipango mizuri
Ila ujinga wake wa kujifanya anajua kila kitu hapo ndo alipobugi
Nangoja hapa, badae tunaweza pigwa porojo nyingine ikaisha hiyolikikamilika
...Walisema itafika Majumbani kama mabomba ya Maji !Gesi walisema bei itashuka kiko wapi
Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?FRANCIS DA DON utasubiri sana kushuka kwa bei ya umeme hadi vinyweleo vya miguu viote mvi!
Umeme mkubwa haulipi kuutunza wasipopata watumiaji wengi (kw kushusha bei na kuunza nje ) umeme utapotea bure.Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?
Exactly my point, utautunzia wapi huo umeme? Lazima ushushe bei ili utumike woteUmeme mkubwa haulipi kuutunza wasipopata watumiaji wengi (kw kushusha bei na kuunza nje ) umeme utapotea bure.
Usitarajie kwa Hawa mafisadi kushusha bei ya umeme, watatupiga kama kwenye vifurushi vya internet.Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?
Kwani mafisadi wana hasara gani? Wao wanajali matumbo yao tu!Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?