Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Update: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?

Hajui multiplier effect ya umeme kushuka bei na viwanda kukua na kuzalisha ajira na kukuza uchumi? Hajui?!

FRANCIS DA DON utasubiri sana kushuka kwa bei ya umeme hadi vinyweleo vya miguu viote mvi!
Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?
 
Umeme mkubwa haulipi kuutunza wasipopata watumiaji wengi (kw kushusha bei na kuunza nje ) umeme utapotea bure.
 
Exactly my point, utautunzia wapi huo umeme? Lazima ushushe bei ili utumike wote
 
Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?
Usitarajie kwa Hawa mafisadi kushusha bei ya umeme, watatupiga kama kwenye vifurushi vya internet.
 
Watashusha tu kwa lazima, kama gharama za uzalishaji umeme zitashuka, kwanini umeme usishuke. Otherwise hizo Megawatt 2000 na hizi za sasa 1400, jumal 3400 zitaenda wapi na atatumia nani bila kushusha bei? Au ndio watauza nje na pesa watatia mfukoni!?
Kwani mafisadi wana hasara gani? Wao wanajali matumbo yao tu!
 
Back
Top Bottom