Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Nope usicheze na Propaganda.., wewe unajua haya na mimi najua lakini watu mtaani hawajui..., Miaka yote tumekuwa tukilaumu mitandao ya Simu kwamba ndio wezi wanakata makato makubwa kumbe ni Serikali; Petroli ina matozo lukuki ya Serikali ila watu wanajua ni Bei za huko pengine ndio inaleta shida.....

Kwahio hawa jamaa wataendelea kuongoza sababu watu ni un-informed..., lakini bomu wanalotengeneza vitukuu vyao vitakuwa vimezungukwa na vitukuu vya wengine ambao ni mafukara wa kutupwa watauliza hivi inakuwa nchi ya kwangu naishi kama mkimbizi...; kwahio wasipobadilika na hali ikiendelea hivi na hili gap la walionacho na wasionacho..., Tanzania ya kesho itakuwa inatisha (na huenda French Revolution ikawa ni Historia kwetu kwa nini kitatokea watu wakijisahau)...., Na kama tunawashindwa vijana wadogo tu wachache Panya Road ije kuwa timu ya watu waliokata tamaa ambao hawana cha kupoteza !!???

Ingawa hili sio leo wala kesho Tanzania bado ni tajiri na opportunity bado zipo ingawa zinapungua by the day...
 


Eti mnabana pua kuwa hatushushi bei hata bwawa likikamilia, kwani bwawa la baba yenu hilo? TANESCO
 
Megawatt 3700 zitarnda wapi bila kushusha bei ya umeme? Au wataruhusi maji yamwagike bure bila kuzalisha umeme?
 
Battery za kuhifadhi umeme zitapatikana wapi ukizingatia hawatashusha bei za umeme?
 
Megawatt 3700 za umeme zitaenda wapi bila kushusha bei ili zitumike zote? Au mtaruhusi maji yamwagike bure kama wachawi?
 
Huyu huyu maharage si alisema pia gharama hazitashuka hata kama bwawa likikamilika?
 
Mkuu kwa hii habari yako ya kuungaunga (kusadikika) conclusion yake ni nini hasa?
 
Hitimisho ni kuwa bei ya umeme haitashuka na badala yake itapanda ili kuanza kulipia mkopo uliojenga bwawa!
Malengo ya kujenga Bwawa yalikuwa ni kushusha bei ya umeme ili kuchagiza ukiajixwa viwanda, ajira na kukuza uchumi, ili kupitia kukua huko kwa uchumi wa viwanda ndio deni lilipwe kwa haraka zaidi. Hoja ni hiyo.
 
Malengo ya kujenga Bwawa yalikuwa ni kushusha bei ya umeme ili kuchagiza ukiajixwa viwanda, ajira na kukuza uchumi, ili kupitia kukua huko kwa uchumi wa viwanda ndio deni lilipwe kwa haraka zaidi. Hoja ni hiyo.
Iliandikwa wapi au nani alitamka? Ambatanisha clip video!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…