Abdul kalaam
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 441
- 565
Sasa simama na mama.Sitoacha Kusimama na Hayati JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa simama na mama.Sitoacha Kusimama na Hayati JPM.
Nope usicheze na Propaganda.., wewe unajua haya na mimi najua lakini watu mtaani hawajui..., Miaka yote tumekuwa tukilaumu mitandao ya Simu kwamba ndio wezi wanakata makato makubwa kumbe ni Serikali; Petroli ina matozo lukuki ya Serikali ila watu wanajua ni Bei za huko pengine ndio inaleta shida.....Daah, these bastards !!! Kwakweli kama watatuhujumu Tanganyika kwa kiasi hiki na wasishushe bei ya umeme hata baada ya kuingiza Megwati 2,100 kwenye gridi, ukijumuisha na kuuzwa kwa bandari, Uchaguzi mkuu 2025 yanaweza kutokea ya Rwanda 1994, maumivu ya watu wengi yakilipuka huwa yanalipuka vibaya sana
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
==========================
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.
========================
=========================
=========================
==========================
Update: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?
Hajui multiplier effect ya umeme kushuka bei na viwanda kukua na kuzalisha ajira na kukuza uchumi? Hajui?!
===========================
Update: 29/05/2023
Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka. Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya...www.jamiiforums.com
Jaribu kutoa conclusion, wewe si ndiye unachangia auMkuu kwa hii habari yako ya kuungaunga (kusadikika) conclusion yake ni nini hasa?
Huyu jamaa mgonjwa aisee 😀 😀 😀 😀Hiyo heading nikujua kesho umeme unashuka
Kumbe mpaka bwawa likamilike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndiye uliyeleta taarifa (simulizi) ulitakiwa kuitolea hitimisho mkuuJaribu kutoa conclusion, wewe si ndiye unachangia au
Wimbo wa gas ya mtwara uliimbwa kama huuUpdate: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?
Hitimisho lipi sasa, mimi nimeshaitimishaWewe ndiye uliyeleta taarifa (simulizi) ulitakiwa kuitolea hitimisho mkuu
Hitimisho ni kuwa bei ya umeme haitashuka na badala yake itapanda ili kuanza kulipia mkopo uliojenga bwawa!Hitimisho lipi sasa, mimi nimeshaitimisha
Malengo ya kujenga Bwawa yalikuwa ni kushusha bei ya umeme ili kuchagiza ukiajixwa viwanda, ajira na kukuza uchumi, ili kupitia kukua huko kwa uchumi wa viwanda ndio deni lilipwe kwa haraka zaidi. Hoja ni hiyo.Hitimisho ni kuwa bei ya umeme haitashuka na badala yake itapanda ili kuanza kulipia mkopo uliojenga bwawa!
Iliandikwa wapi au nani alitamka? Ambatanisha clip video!Malengo ya kujenga Bwawa yalikuwa ni kushusha bei ya umeme ili kuchagiza ukiajixwa viwanda, ajira na kukuza uchumi, ili kupitia kukua huko kwa uchumi wa viwanda ndio deni lilipwe kwa haraka zaidi. Hoja ni hiyo.
Iliandikwa wapi au nani alitamka? Ambatanisha clip video!