Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970

View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==

==========================


Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.

Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.

Video inamaelezo zaidi.



========================



=========================



=========================



==========================
Update: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?

Hajui multiplier effect ya umeme kushuka bei na viwanda kukua na kuzalisha ajira na kukuza uchumi? Hajui?!



===========================
Update: 29/05/2023

===========================
6176459F-D81B-41F4-8A08-922F69EBF824.jpeg
 
Nilijua mmeshusha kutoka 320k ya kuvutia ,kumbe hizo takataka.

Yaan unautoa umeme kutoka 27k mpk 320k ,,hovyo kabisa ngoja nikomae na solar Yangu tu
 
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu...
Alinacha, study the facts, utaona unaongea jambo la hovyo kabisa. Huna haja ya kungoja, sie sio wa kwanza kuwa na bwana, search facts. Sio tu kuangalia Nyashi kwenye facebook.
 
Back
Top Bottom