FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
View: https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
==========================
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.
========================
=========================
=========================
==========================
Update: 28/05/2023
Maharage Chande - “Bwawa la Nyerere likianza gharama za uzalishaji umeme zitashuka sana, ila umeme kushuka bei ni sisi ndio tutaona busara ikoje”.
Hivi huyu jamaa ana akili sawa sawa kichwani kweli?
Hajui multiplier effect ya umeme kushuka bei na viwanda kukua na kuzalisha ajira na kukuza uchumi? Hajui?!
===========================
Update: 29/05/2023
Ethiopia umeme ni Shilingi elfu 10 kwa mwezi na maji shilingi elfu 10 kwa mwaka
Inashangaza sana nchi maskini kama Ethiopia yenye watu zaidi ya million 100 umeme ni 300 birr ambayo ni shilling za Tanzania kama elfu kumi hivi kwa mwezi, na maji ni shilling elfu kumi za Tanzania kwa mwaka, namaanisha siyo kwa mwezi kwa mwaka. Hii pia inawezekana Tanzania lakini chini ya...