Habari njema: Bei ya umeme kushuka kutoka Sh.600/= hadi Sh. 35/= kwa unit moja bwawa la Nyerere likikamilika

Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Hata gesi tulidangwanywa hivihivi leo wanafaidi wahuni wengine kabisa wasio na uzalendo
 
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.

Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.

Video inamaelezo zaidi.

Itaongezeka kwa shs. 35/= kulipia gharama za winchi na maji.
 
Fukuza CCM, hakuna maendeleo ya dhati mnaweza kuyapata chini ya serikali ya CCM. Kenya baada ya KULIVUA KOTI la KANU uchumi wao umepaa maradufu zaidi ya Tanzania
 
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.

Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.

Video inamaelezo zaidi.

Mchinga Sound
 
Bwawa la mchongo. Baada ya Magu ku rest in eternal peace huyu Aliyepo hawezi kulimalizia. acheni story za kif...
 
VAT 18%,kodi ya kiwanja,pana sijui makato ya Ewura,REA hata wakitoa Bure bado itakuwepo hela ya kuchangia Mkuu...
 
Upigaji tu mwisho wa siku hili Bwawa lingekuwa Mwarobaini kuwasaidia watanzania lakini hata likiisha litaendelea kuwanufaisha wachache na zitapigwa ngonjera kwanini bei haishuki
 
VAT 18%,kodi ya kiwanja,pana sijui makato ya Ewura,REA hata wakitoa Bure bado itakuwepo hela ya kuchangia Mkuu...
Kuna kitu kinaitwa Production Cost; kama Tanesco wananunua unit kwa so called muwekezaji ili wakuuzie wewe kuna leeway ndogo sana ya kushusha na hata wakishusha utalipa kwa njia nyingine ya Kodi / Ruzuku ili muwekezaji alipwe

Hakuna mtu kasema watoe bure bali bei iwe rafiki kulingana na kipato cha mtu, sasa hivi majiko ya umeme yamegeuka kuwa makabati umeme ni un-affordable wakati ingeweza isiwe hivyo, badala ya kumaliza Bwawa kushusha bei ili watu wapikie umeme tunahangaika kuwa madalali wa mitungi ya Gesi na sijui kuwapa bure watu majiko ya Gesi

Kweli Jamuhuri imegeuka kuwa Bongo Movie..., Full Usanii na Maigizo mwanzo mwisho
 
Back
Top Bottom