Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata gesi tulidangwanywa hivihivi leo wanafaidi wahuni wengine kabisa wasio na uzalendoItafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Kwahiyo uko nae kabulini mmesimama?.Sitoacha Kusimama na Hayati JPM.
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.

Hii nchi ata CDM wakiishika wata hakikisha wana shiba kwanza na kujipoza na machungu yoteFukuza CCM, hakuna maendeleo ya dhati mnaweza kuyapata chini ya serikali ya CCM. Kenya baada ya KULIVUA KOTI la KANU uchumi wao umepaa maradufu zaidi ya Tanzania
Famasihara nini hiyo ndiyo CCM..Kwani halija kamilika hadi leo na walivyo lijaza maji c walisema limesha kmilisha asilimia78 kitu kma hicho
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani sana, hii ni kwa sababu nguvu ya maporomoka ya hayo maji kuelekea baharini inauwezo wa kuzalisha umeme mwingi sana na wagharama nafuu.
Tunajua kwamba kuna watu wamewekeza pesa nyingi kwenye miradi ya gesi, na pia wapo watu huko msoga wana mirijanyao kwenye gesi, ila kwa sasa tunaomba muwe na uzalendo, kuweni na huruma na waTz wenzenu jamani. Viwanda haviwezi kukua au kuzalisha bidhaa za ushindani kwa umeme wa ghali namna hii, tukumbukenkwamba viwanda ndio dawa ya kudumu ya tatizo la ajira. Tuhurumieni, tupo chini ya miguu yenu.
Video inamaelezo zaidi.
Yes, kwa wingi na unafuu wa umeme utakaozalishwa hapo bei lazima iwe chini ya 35/= , na mwingine itabidi tuuze njeKutakuwa na uwezekano wa magari ya umeme kutumika bongo , Kama hizi gharama zikitumika
Famasihara nini hiyo ndiyo CCM..
Kuna kitu kinaitwa Production Cost; kama Tanesco wananunua unit kwa so called muwekezaji ili wakuuzie wewe kuna leeway ndogo sana ya kushusha na hata wakishusha utalipa kwa njia nyingine ya Kodi / Ruzuku ili muwekezaji alipweVAT 18%,kodi ya kiwanja,pana sijui makato ya Ewura,REA hata wakitoa Bure bado itakuwepo hela ya kuchangia Mkuu...