Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #61
Kinachokuliza nini ?Haijalishi. Bandiko kuu lishabadilishwa, hapo ndipo ungeelewa nilimaanisha nini. Itoshe mimi kusema "mleta taarifa " haikuwa na maana ya "Taarifa" per se.
Umeleta mfano mzuri tu, kwamba kuna ambao hawazifahamu taarifa zilizopo-wewe hufahamu Makonda aliwaita CHADEMA 'watoa taarifa' ? au unajiondoa ufahamu? Kumbuka mleta mada ni mwana CHADEMA yaani ni piiipoozz kindaki ndaki
Watanzania wengine bhana, kurukia rukia tu
Na kwa taarifa yako, ndio sikupendezwa na bandiko lake kuu na hatahivyo lishabadilishwa, kwahiyo unaweza fikiria unachoeza.
Utaishiwa machozi kulia lia bila sababuUmeishiwa wewe huna Content unaleta mambo ya hamaki...Itoshe wewe ni Mzushi, kibaraka na wakala wa makaburu unaejinasibu kuwa ni Mwana CHADEMA....mtoa taarifa tu!
.
Litumike vizuri kwa kazi kusudiwa tu, isiwe kuchafuliana watu majina.
Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu .
======
Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu"
Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote, Matukio ya Rushwa au Uvunjwaji wa Haki za Binadamu anaweza kuandika kupitia #FichuaUovu bila kujulikana yeye ni nani
Kila mtu anayoNaomba mimi waniunge haraka sn kwenye hilo jukwaa
Thubutuuuuuuu.......Hii ingekuwa safi sana awamu ya Tano.
Wewe ndie unaye lia 'mtoa taarifa'Kinachokuliza nini ?
Wewe ni mzushi na umethibitisha hilo hapo.Utaishiwa machozi kulia lia bila sababu
Uwongo na ukweli havikai pamojaLitumike vizuri kwa kazi kusudiwa tu, isiwe kuchafuliana watu majina.
Noted and adhered.Mkuu usihangaike na Wajinga
Kwi Kwi KwiWewe ndie unaye lia 'mtoa taarifa'
Umekula lakini?
Waambie mod kwani mi ni mod?Kila mtu anayo
JichanganyeKabisa , na kwamba hata jf yenyewe haitawajua
Acha kujidanganya!!! Ingekua mtu anaweza kufichua uovu bila ku log in!!Kabisa , na kwamba hata jf yenyewe haitawajua
Lipo chini kabisaTunaotumia browser hatulioni hilo jukwaa
Asante kiongozi, ila mngeweka peupe zaidi ikiwezekana iwe na uniqueness kimuonekano, kama feature inatumika kufichua uovu siyo busara yenyewe ikajificha kwani inaogopa nini?Lipo chini kabisaView attachment 2979519