Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

Habari Njema: JF ina Jukwaa la kufichua maovu, Wafichuaji hawatajulikana

Haijalishi. Bandiko kuu lishabadilishwa, hapo ndipo ungeelewa nilimaanisha nini. Itoshe mimi kusema "mleta taarifa " haikuwa na maana ya "Taarifa" per se.

Umeleta mfano mzuri tu, kwamba kuna ambao hawazifahamu taarifa zilizopo-wewe hufahamu Makonda aliwaita CHADEMA 'watoa taarifa' ? au unajiondoa ufahamu? Kumbuka mleta mada ni mwana CHADEMA yaani ni piiipoozz kindaki ndaki

Watanzania wengine bhana, kurukia rukia tu

Na kwa taarifa yako, ndio sikupendezwa na bandiko lake kuu na hatahivyo lishabadilishwa, kwahiyo unaweza fikiria unachoeza.
Kinachokuliza nini ?
 
Umeishiwa wewe huna Content unaleta mambo ya hamaki...Itoshe wewe ni Mzushi, kibaraka na wakala wa makaburu unaejinasibu kuwa ni Mwana CHADEMA....mtoa taarifa tu!


.
Utaishiwa machozi kulia lia bila sababu
 

Tunashukuru sana kwa kuongezewa eneo lingine la kuanikia uchafu .

======

Maxence Melo: JamiiForums Tumetengeneza "Jukwaa Maalum" la kusaidia wananchi kupaza sauti zao bila kuweka wazi utambulisho wao. Jukwaa hili linaitwa "Fichua Uovu"

Mwananchi yeyote anayetaka kutoa taarifa ya Uovu wowote, Matukio ya Rushwa au Uvunjwaji wa Haki za Binadamu anaweza kuandika kupitia #FichuaUovu bila kujulikana yeye ni nani

Litumike vizuri kwa kazi kusudiwa tu, isiwe kuchafuliana watu majina.
 
Tunaotumia browser hatulioni hilo jukwaa
 
Tunaotumia browser hatulioni hilo jukwaa
Lipo chini kabisa
Screenshot_20240503-093605.png
 
Back
Top Bottom