Ila Mh rais alisema tujenge kinu cha uchenjuaji hapahapa na si kusafirisha, nani anasafirisha? Na haoni kusafirisha ni kupingana na rais?Hiyo uliyomalizia mwisho ilikuwa zamani. Makinikua yanaoekekwa kwa utaratibu maalum kuanzia upakiaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba noah tunapata?Sisi upinzania kama upinzani hatufurahii habari hii, tulitaka Barrick wagome kulipa tuanze kuponda kama kawida yetu.
Mzee baba noah tunapata?
Sasa mtu ulisema kakudhulumu buku mi nikakwambia huyo buku hakulipi tukabishana weee halafu akaja kukulipa sh5 katika buku na bado unajisifia!!! Hivi dola bilioni190 hadi dola milioni300 ni sawa kweli?Mzeebaba bado namind Barrick kulipa mpunga wametukata mdomo sisi upinzani tulishajipanga kuangusha mabomu kwa mkulu kama wangegoma
Hizo hela zitaliwa na ccm
Kwanini umekata tamaa kiasi hicho ndugu. Hii nchi ni ya kwetu sote.mtmtoa post thread yko haizingatiwi na seerikali hvyo uctuchoshe wameshapanga kivyao.
Samahani mkuu, nimesoma bilioni 250, sijui hii milioni 100 imekuja vipi? Naomba kueleweshwa mkuu.Mbona hizo hela ni kidogo sana aisee,yaani sisi hapa ofisini ni budget ya mwaka .Sasa million 100 mpaka kwenye magazeti tunaandika?duuu safari ya Tz ni ndefu.Ila sawa angalao hicho wametoa ila bado aisee wametupiga sana ujue hakuna kodi nyingine watatoa kwa next 5 years zaidi ya hizo mil 300.Na tukicheza kwenye hiyo kanuni mpya share ya yetu inaweza kuwa ni hela hiyo hiyo ikawa moja toa moja sifuni.
Sidhani kama hizo fedha zilikuwa zimejumuishwa kwenye bajeti. Ni kama "hela za kuokota". AuKwa akili yako unadhani hiZo Ela hazina matumizi?