Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Samahani mkuu, nimesoma bilioni 250, sijui hii milioni 100 imekuja vipi? Naomba kueleweshwa mkuu.
Nimemaanisha dollar 100m yes ni hela kidogo sana .Kwa shirika letu ndio budget ya mwaka mmoja haitoshi hata kuendesha halmashauri mbili kwa mwaka nchini
 
Nadhani tunahitaji kuhakikisha tunafaidika na madini yetu barabara, bado tunapigwa. Baba wa Taifa alikuwa na maono mazuri sana akisema: "Ni afadhali tuache madini yetu pale yalipo hadi tutakapokuwa na uwezo wa kuyachimba wenyewe la sivyo tutawanufaisha wageni na kubaki maskini".

Barrick yakabidhi serikali bil. 250/-
 

Attachments

  • 1590575174661.png
    77.3 KB · Views: 1
Tundu lissu alisemaje kuhusu makinikia?

Alisema makinikia ni mali ya Wazungu, hii ina maana kuwa alikuwa anawatetea Wazungu watuibie kuliko kuwatetea Watanzania
 
Kuna upungufu mkubwa wa fedha na madeni ni makubwa mno.
 
Badae raisi akitoka madarakani ndo utawaskia dah yani magufuli alikuwa jembe kwanini tusimpongeze sasa.
 
Badae raisi akitoka madarakani ndo utawaskia dah yani magufuli alikuwa jembe kwanini tusimpongeze sasa.
 
Kwa hiyo kama idadi ya watanzania ni milioni 60, hapo kila mtanzania ana USD 1.6. Si haba. Safari ya Noah moja kwa kila mtanzania hatimaye imeanza!
Hivi Noah moja ni bei gani vile?
 
Wakati wengine wanaogelea mikopo na kujipa Liabilities isiyo na Tija.

Magufuli ameendelea kubana na kutumia fursa mbalimbali zilizopo ili kuhakikisha nchi haidoroli kiuchumi.

---

  • The dispute originally involved Acacia Mining, which was taken over by Barrick last year. The Tanzanian government imposed a ban on exporting mineral concentrates in 2017 after accusing Acacia of tax evasion.
Dodoma. Tanzania government has today received $100 million (Sh230 billion) from Barrick Gold which is the first tranche of $300 million agreed as goodwill gesture to end dispute between the two parties.

Barrick inherited a dispute from its subsidiary Acacia Mining which Tanzania government in 2017 accused of operating illegally and understating gold exports.

Last year, the two sides signed a deal to settle a long-running tax dispute which included the payment of the $300 million.
The two sides also formed a jointly owned Twiga Minerals Corporation in which the government of Tanzania has 16 per cent free-carried equity. The company replaced Acacia Mining.

“I congratulate Barrick for implementing our agreement and call upon other mining firms to emulate the move in ensuring a win-win situation,” said the Minister for Finance and Planning Dr Philip Mpango who received a dummy cheque from the company’s representatives.

Barrick’s Tanzania subsidiary Twiga Minerals has resumed exports of gold concentrate after receiving clearance for its first shipments since the lifting of a government ban imposed during a tax dispute with the mining company.

The dispute originally involved Acacia Mining, which was taken over by Barrick last year. The Tanzanian government imposed a ban on exporting mineral concentrates in 2017 after accusing Acacia of tax evasion.

“In terms of its framework agreement with the government, the shipping of some 1,600 containers of concentrate stockpiled from Bulyanhulu and Buzwagi resumed in April and the first $100 million received from the sale has gone to the government,” said Barrick Gold in a statement.
 
Mods huu ni uzi tofauti heshimuni kutofautiana.

Magufuli ni moja ya wababe wakubwa kabisa wa chemistry kuwahi kutokea duniani. JPM ni mtu wa kwanza duniani kumanipulate chemical composition ya maganda ya korosho kuzuia kutu na hivyo kuokoa mabilioni kama sio matrilioni ya shilingi duniani yaliyokuwa yakisababishwa na uharibifu wa kutu katika sekta ya metals duniani.

JPM ukiachilia mbali utaalamu wake mkubwa wa chemistry pia ni nguli mkubwa wa sheria ambayo alijifunza kwa kusoma mwenyewe kama masomo yake ya ziada. Kwa kutumia unguli wake wa sheria na ujasiri mkubwa alimuonesha kwa vitendo mwanasheria mwingine anayefahamika kwa jina la Lissu jinsi MIGA inavyofanyakazi, mipaka yake na mamlaka yake.

Mpaka leo asbuhi kibubu cha taifa kilikuwa kimeongezeka zaidi ya bilioni 250 zaidi ya wiki iliyopita.
Kupokea hela hii ni wazi kabisa Lissu hakuwa sahihi na JPM alikuwa zaidi ya sahihi. Namshauri Lissu akipata utata kwenye suala la sheria asione aibu kumcheki JPM kwa msaada zaidi maana maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…