Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemaanisha dollar 100m yes ni hela kidogo sana .Kwa shirika letu ndio budget ya mwaka mmoja haitoshi hata kuendesha halmashauri mbili kwa mwaka nchiniSamahani mkuu, nimesoma bilioni 250, sijui hii milioni 100 imekuja vipi? Naomba kueleweshwa mkuu.
Hiyo pesa imetoka ni ya awamu ya kwanza, awamu nyingine zinafuata.Nimemaanisha dollar 100m yes ni hela kidogo sana .Kwa shirika letu ndio budget ya mwaka mmoja haitoshi hata kuendesha halmashauri mbili kwa mwaka nchini
Tugaiwe wanaume, tuongeze wake sisiNajua jukwaa hili lina wataalamu mbalimbali. Na ninajua kuwa pia kuna watu wa serikali huwa wamo humu na huwa wanafuatilia yanayojadiliwa humu...
kama alivyokula mbowe bili8.5 michango ya wabunge wa chademaHizo hela zitaliwa na CCM
Zimetumika kulipia mishahara ya mwezi huu.Najua jukwaa hili lina wataalamu mbalimbali. Na ninajua kuwa pia kuna watu wa serikali huwa wamo humu na huwa wanafuatilia yanayojadiliwa humu...
Kuna upungufu mkubwa wa fedha na madeni ni makubwa mno.Najua jukwaa hili lina wataalamu mbalimbali. Na ninajua kuwa pia kuna watu wa serikali huwa wamo humu na huwa wanafuatilia yanayojadiliwa humu.
Mtu muungwana ni yeye yule atoae ushauri kwa kuzingatia Uzalendo. Na mtu muungwana kwa upande wa pili ni yeye yule apokeaye ushauri na kuufanyia kazi.
Lengo ni kujenga nchi yetu pendwa. Maendeleo hayana vyama.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo kama idadi ya watanzania ni milioni 60, hapo kila mtanzania ana USD 1.6. Si haba. Safari ya Noah moja kwa kila mtanzania hatimaye imeanza!Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Update.
Bunge letu ndio limetangaziwa rasmi fedha hizi mchana huu, sasa hivi, hivyo wewe as mwana jf, you were the first to know, na kwenye magazeti ni kesho!.
Viva if
Mungu Ibariki JF
Mungu Ibariki Tanzania
P
Update 2
P