Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Tanzania ni nchi teule.
Kunyaland wamekopa kupambana na Covid matokeo yake wanagombana na majirani tu

Kunyaland wamekopa mpaka pesa ya kupambana na Nzige

Kunyaland watakopa wapambane na kipindupindu maana kinawatesa. Hii inaashiria hata hawanawi vizuri

Kunyaland watakopa kutuliza mzozo wa Wamasai na Kalenjin ambao umemwaga damu...kwa kugombea Maksai
 
Out of 400 trillions.... [emoji101]spell it again... FOUR HUNDRED TRILLIONS!!!... Wat a Joke...!!!!

Jr[emoji769]
 
We jamaa. Kutwa umo JF hujui hata madini yanavyochimbwa. Pambana na kilimo cha kahawa na uchuuzi. Mambo ya madini tuachie sisi wajuzi.
Mimi silimi kahawa wala sifanyi uchuuzi.. Mimi niko kilingeni Msata.. BTW ulipaswa kujibu hoja sio kuleta mipasho

Jr[emoji769]
 
I thought a smelter would be running by now. We are acting very slow. We should act and work like Chinese in order to cover the development gap.
We talked about Kigamboni bridge, Malagarasi bridge, Stiegler Gorge e.t.c. for fifty years before we accomplished some projects. This is not the way to go, we need run instead of creeping. For Ubungo flyover we only talked for about ten years. Encouraging but not enough. We shouldn't take fifty years to accomplish strategic project like Mchuchuma and Liganga for economic wellbeing of our country. Give a credit where it's due, thank you Mr President Magufuli for trying steer the country on this direction.
 
Sasa mtu ulisema kakudhulumu buku mi nikakwambia huyo buku hakulipi tukabishana weee halafu akaja kukulipa sh5 katika buku na bado unajisifia!!! Hivi dola bilioni190 hadi dola milioni300 ni sawa kweli?

Basi sis upinzani tutashikilia hapo hapo kumbe bado kuna mwanya wa kulalamika.
 
"Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100" ...
Heshima yako Pascal Mayalla , naona hapa Lumumba FC hawajaelewa kitu
 
Mimi silimi kahawa wala sifanyi uchuuzi.. Mimi niko kilingeni Msata.. BTW ulipaswa kujibu hoja sio kuleta mipasho

Jr[emoji769]
Wachagga wa aina yako mnajiona maisha mmeyapatia.
Usijitie ujuaji, sometime ujuaji mwingi ni huongeza ujinga.

Huna hoja bali hizo unazoleta ni tabia za kitoto na umangi wa kishamba.
 
Wachagga wa aina yako mnajiona maisha mmeyapatia.
Usijitie ujuaji, sometime ujuaji mwingi ni huongeza ujinga.

Huna hoja bali hizo unazoleta ni tabia za kitoto na umangi wa kishamba.
Pingana kwa hoja achana na mipasho ambayo hata hivyo huiwezi

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…