Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Tanzania ni nchi teule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunyaland wamekopa kupambana na Covid matokeo yake wanagombana na majirani tuTanzania ni nchi teule.
A journey of thousand miles starts with a single stepOut of 400 trillions.... [emoji101]spell it again... FOUR HUNDRED TRILLIONS!!!... Wat a Joke...!!!!
Jr[emoji769]
Come oòonMods uzi huu upelekwe kwenye section ya mapenzi.
We jamaa. Kutwa umo JF hujui hata madini yanavyochimbwa. Pambana na kilimo cha kahawa na uchuuzi. Mambo ya madini tuachie sisi wajuzi.Out of 400 trillions.... [emoji101]spell it again... FOUR HUNDRED TRILLIONS!!!... Wat a Joke...!!!!
Jr[emoji769]
Not this one palA journey of thousand miles starts with a single step
Mimi silimi kahawa wala sifanyi uchuuzi.. Mimi niko kilingeni Msata.. BTW ulipaswa kujibu hoja sio kuleta mipashoWe jamaa. Kutwa umo JF hujui hata madini yanavyochimbwa. Pambana na kilimo cha kahawa na uchuuzi. Mambo ya madini tuachie sisi wajuzi.
Sasa mtu ulisema kakudhulumu buku mi nikakwambia huyo buku hakulipi tukabishana weee halafu akaja kukulipa sh5 katika buku na bado unajisifia!!! Hivi dola bilioni190 hadi dola milioni300 ni sawa kweli?
you don't understand the irony..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Useless c*ntA journey of thousand miles starts with a single step
Hakuna anaelalamika bali watu wanaelezwa hali halisiBasi sis upinzani tutashikilia hapo hapo kumbe bado kuna mwanya wa kulalamika.
Wachagga wa aina yako mnajiona maisha mmeyapatia.Mimi silimi kahawa wala sifanyi uchuuzi.. Mimi niko kilingeni Msata.. BTW ulipaswa kujibu hoja sio kuleta mipasho
Jr[emoji769]
Pingana kwa hoja achana na mipasho ambayo hata hivyo huiweziWachagga wa aina yako mnajiona maisha mmeyapatia.
Usijitie ujuaji, sometime ujuaji mwingi ni huongeza ujinga.
Huna hoja bali hizo unazoleta ni tabia za kitoto na umangi wa kishamba.
Huna hoja yoyote zaidi ya kejeli na kujiona wewe unaakili kuliko wengine.Pingana kwa hoja achana na mipasho ambayo hata hivyo huiwezi
Jr[emoji769]