Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Afadhali kama kweli ngoja tuone dola itakuwaje. Big up
 
Pascal,

Haya ni mauzo ya makinikia bwana. Hawa jamaa wajanja sana,mie nilijua watatoa mzigo kule walipoiba,kumbe humu humu.

Bora tungeyapiga mnada wenyewe tu yale makontena.

Sent using iphone pro max
Hata kama ni mauzo ya makanikia umesahau JPM alitishiwa kuwa kuyazuia WaTZ tungenyolewa kwa chupa bila maji? Sasa kama yameuzwa tukapewa USD hata 100,000 tuna hasara gani? Jamaa walioandika makala na vitabu kuwa TZ tunaibiwa kwenye makanikia ghafla walibadilika bei yao ilipofikiwa na kubeza juhudi zote za kuzuia makanikia. Baada ya kuona vitisho vya kunyolewa kwa chupa havisaidii walibeza ripoti iliyohalalisha kuzuia usafirishaji wa makanikia na kuiita professorial rubbish. Sasa aibu kwaooooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 una akili sawa sawa wewe kweli? Milioni 50 anazolipwa mbowe zinawaathiri vipi Watanzania ukilinganisha na 2.7 trillions zilizoibiwa hazina.

Na kwa taarifa yako CAG alikagua mahesabu ya Chadema hakuona tatizo lolote kuhusu malipo kwa Mbowe na hivyo kutoa HATI SAFI.

Ripoti ya CAG Assad ya 2017/2018 1.5 trillions imeibiwa hazina na ripoti ya CAG Kichere ya 2018/2019 1.2 trillions iliibiwa hazina.

Fuatilia kwa kina yanayojiri Nchini acha KUBWETEKA ili utafuniwe kila kitu.

Ripoti ipi CAG inaonyesha hizo fedha hazijulikani zilipo? Nenda kwanza kajadili mil.50 anazolipwa mbowe kila mwezi kwa deni hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vyema hizo zitatusaidia kuendeshea kesi huko MIGGA tulikoshtakiwa!
 
usd100 mil tu kikamatia uchumba sugu
 
Zile 400 Trillion wamesema watatulipa lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…