Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Lissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.
Aachie mzunguko wa hela mtaani sasa, sio kuwekesha mahela BOT tu!
 
Wanabodi,

Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.

Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes

Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.

Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.

Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
dili tayari. 10%.
hakuna mkate mgumu kwa chai.
Watz mtasubiri Noah 55M hadi siku ya kiama shubaaaamit. chezea kolomije squad!!

Acacia imerudishwa kwa mlango wa uani (eti Twiga).

yaani $300M atoe Mzungu cash cash kutoka kwenye cashflow yake? my foot!
mkuu inaelekea hujawahi ku deal closely na Wazungu kwenye issue ya $$, especially North Americans!
 
Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Halafu kina Pasco,wanapongeza bia aibu kwa kitu kisichopongezeka,yaani amekuwa kaimu wa Msigwa.
 
Paskali najua umeguswa sana na unaumia sana kwa namna rasilimali zetu zinavyo chezewa kias hiki,inaumiza sana yan ni kher tuache kuchimba hayo madini kwa sasa waje wafaid vizaz vijavyo walio naakili timamu. Watu wanashabikia tu bila kuchambua mambo kwa umakini. Hiv vyama tukiviendekeza vitatupeleka kubaya kama taifa
 
Wanabodi,

Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.

Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes

Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.

Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.

Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Mkuu Paskali, kama hii taarifa ni ya kweli, basi serikali yetu inapaswa kupewa kongole zake. Hongera kwa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa jitihada zake katika suala hili, kwani ameweza kujipambanua kama kiongozi wa nchi aliye makini na mwenye kujali kizalendo na kwa mfano kulinda rasirimali za nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.

Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes

Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.

Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.

Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Huu mtonyo sio haba.

100000000 USD to TZS | Convert US Dollars to Tanzanian Shillings | XE

Ila huwa nina reservation moja, kama tunameza ku-negotiate na wezi ili kupata USD 300 mil ndani ya miaka 5; naomba serikali pia iwe na uwezo wa kutafuta brains ambazo zinaweza kutumia dhamana ya serikali kuzalisha bidhaa au huduma ambazo soko lake la ndani liko wazi bila uhitaji wa masoko.

Bidhaa kama sukari, maziwa, mafuta ya kula, margarine, industrial fertilizers... hivi kwa asilimia kubwa tuna import;
kama dhamani ya serikali ikipatikana nasi tukawekeza kwenye kuzalisha, tunaongeza ajira, tuna-cut down imports, tunaongeza tax base, tunaongeza wachangiaji mifuko ya jamii...
Watanzania tupo na tuna akili ya kuweza ku-brigde such gaps kwa maana zina market value kwenye soko la ndani nchi na ndani ya SADC

Prof. Mpango huwa anapanga mipango ya kodi; ila angepata mafanikio makubwa ya uhakika kama hazina ingedhamini investments ambazo zina-project makusanyo ya kodi ya uhakika.

Asante kaka kubwa Paskali kwa mrejesho.
 
Lissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.

Ila nyie jamaa ni wanafiki sana. Kinu cha kuchenjua makinikia kimeshajengwa? Makinikia yameendelea kusafirishwa kwenda nje ya nchi kama Tundu Lissu alivotabiri halafu mkamkejeli.
 
Lissu alisema tutashitakiwa MIGA acha kubadirisha gia angani kama mlivyozoea!
 
Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Slowslow muhimili mwingine na mtaalam mbobezi wa magazijuto hajaipangua hiyo 2.7T??..

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Back
Top Bottom