Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Kama kawaida yako, haupitwi!Asante Rais Magufuli
Umetufanya Watanzania tuheshimike duniani
MIGGA niniNi vyema hizo zitatusaidia kuendeshea kesi huko MIGGA tulikoshtakiwa!
Aachie mzunguko wa hela mtaani sasa, sio kuwekesha mahela BOT tu!Lissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.
dili tayari. 10%.Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Halafu kina Pasco,wanapongeza bia aibu kwa kitu kisichopongezeka,yaani amekuwa kaimu wa Msigwa.Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Hoja yako ni nini sasa apo au unataka kupinga nini?Kwani hayo mauzo wanafanya Barrick peke yao? Au yanafanyika kama mali ya Twiga gold corp kwa hiyo hata serikali itakuwa inafahamu mchakato mzima.
Mkuu Paskali, kama hii taarifa ni ya kweli, basi serikali yetu inapaswa kupewa kongole zake. Hongera kwa Rais wetu John Pombe Magufuli kwa jitihada zake katika suala hili, kwani ameweza kujipambanua kama kiongozi wa nchi aliye makini na mwenye kujali kizalendo na kwa mfano kulinda rasirimali za nchi yetu.Wanabodi,
Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho baadae tulikigeuza kuwa ndio mahari kamili ya yule binti yetu makinikia.
Kiasi kilichobaki cha dola milioni 200, kitalipwa kwa mikupuo mitano ya dola milioni 40 kila mkupuo ambacho kitalipwa ndani ya miaka 5, kwa kila mkupuo kulipwa ndani ya mwaka mmoja mmoja.
Habari njema hii ni kwa mujibu wa Barrick,
Karibu ujisomee
Barrick Partnership with Tanzanian Government Delivers First Major Outcomes
Japo deni letu la makinikia ya Barrick lilikuwa Dola bilioni 190 ambazo zingetosha kumnunulia Noah kila Mtanzania, tukaahidiwa kishika Uchumba cha dola milioni 300!, lakini kufuatia majadiliano marefu, tulisamehe deni lote, na kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, tulikikubali kuwa sasa ndio mahari kamili, hivyo hili donge nono la dola milioni 100, ndio mwanzo wa utekelezaji wa makubaliano na Barrick.
Donge nono hili la dola milioni 100 ni nje ya gawio la hisa asilimia 16% za bure bure, ambayo Tanzania tumepewa kwenye kampuni mpya ya ubia wa Tanzania na Barrick, kampuni ya Twiga, na manufaa makubwa kabisa, manene na manono kabisa yanayosubiriwa kwa hamu, ni mgawo wa 50/50, yaani pasu kwa pasu ya manufaa ya Kiuchumi ya kila kinachopatikana kwenye madini yetu.
Huu ni ukombozi mkubwa sana kwa taifa letu. Hongera sana JPM.
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Huu mtonyo sio haba.Wanabodi,

Lissu alisema tutapelekwa MIGA lakini Mh. Rais Magufuli kwanza amewafulumsha wezi Acacia pia sasa tunafanyakazi na Barrick na wameanza kutulipa pesa yetu bado faida ya madini yetu ya kila mwaka lazima pia tuzipate! Pesa zote zinawekwa hapahapa kwenye Benki zetu. Mungu atupe nini jamaniiii. Heko Rais wetu Magufuli.
Pesa inapatikana kwa kufanyakazi. Miradi mikubwa inayoendekea TZ ndiyo njia ya kuachiwa pesa!Aachie mzunguko wa hela mtaani sasa, sio kuwekesha mahela BOT tu!
Lissu alisema tutashitakiwa MIGA acha kubadirisha gia angani kama mlivyozoea!Ila nyie jamaa ni wanafiki sana. Kinu cha kuchenjua makinikia kimeshajengwa? Makinikia yameendelea kusafirishwa kwenda nje ya nchi kama Tundu Lissu alivotabiri halafu mkamkejeli.
Lissu huyohuyo alisema makinikia yataendelea kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Kiko wapi leo?Lissu alisema tutashitakiwa MIGA acha kubadirisha gia angani kama mlivyozoea!
Hiyo pesa Igawanywe tu kila mtu aipatePesa inapatikana kwa kufanyakazi. Miradi mikubwa inayoendekea TZ ndiyo njia ya kuachiwa pesa!
Slowslow muhimili mwingine na mtaalam mbobezi wa magazijuto hajaipangua hiyo 2.7T??..Ripoti mbili za CAG zinaonyesha 2.7 trillions hazijulikani zilipo. Bunge DHAIFU limenyuti halafu mtu anashangilia kupata $300 millions. Aliyewaroga baadhi ya Watanzania uchawi wake si wa kawaida hata kidogo.
Huyo msaliti hatuna muda naye sisi tunachapa kazi tu!Lissu huyohuyo alisema makinikia yataendelea kusafirishwa kwenda nje ya nchi. Kiko wapi leo?