Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Kuna watu bado Hawaoni kazi iliyofanywa na Serikali kwenye sekta ya madini
 
Sahihisho kwenye kichwa cha habari/uzi
Sio $100/= Millions bali ni $100/= Million
 
Pascal,

Haya ni mauzo ya makinikia bwana. Hawa jamaa wajanja sana,mie nilijua watatoa mzigo kule walipoiba,kumbe humu humu.

Bora tungeyapiga mnada wenyewe tu yale makontena.

Sent using iphone pro max
Hayo makinikia yalipatikana kabla ya makubaliano hivyo hiyo $100m siyo sehemu ya mapato ya Twiga. Na Pia hizo $40m kila mwaka hazitatolewa na Twiga bali Barrick!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

wamepewa kazi ya kusifia na sio otherwise, hawafikirii kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Noah zetu ulizia pia mkuu Pascal Mayalla


Taarifa njema kama tunaanza kufaidi rasilimali zetu
 
Daaah! Mpk mwanangu anakua anauliza dad noah yetu itakuja lini mweeeh....5yrs to come sistakua mkubwa kabisa aisee

Luckman1
 
We ni murongo sana kontena gani 1600 nani alikupa hiyo idadi? Muwe mnapunguza uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…