Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

Hawa jamaa mazymbukuku sana...
 
Noah zetu bye bye!! Sasa ile tume ya akina Osoro, prof tusemeje sasa? Maana is either walidanganya au walikusudia kupotosha ukweli!
 
Hiyo ya kutumia benki zetu ni mhimu sana maana pesa zikiwa kwenye benki za Tz nasisi watu wachini tunazikopa na kufanya ujasiliamari.
 

Kaka Pascal nikutakie heri ya burudani ya kusoma meseji za wapingaji hewa, umewapa link Ila bado shetani mpingaji ana gamba gumu.
 
Nadhani Wewe ndo hazikutoshi kabisa. Yaani unabariki wizi wa mbowe kwa kusema eti unawaathiri vp watanzania? Are you serious? Au ndo mahaba yamekuzidi. Ile pesa ni ya walipa kodi kupitia ruzuku ambayo Chadema wanapokea kila Mwezi . Piga hesabu 50 mil kila mwezi kwa mwaka ni sh. Ngapi? Halafu piga kwa miaka 5. Unajenga barabara na zahanati halafu unasema zinawaathiri vp watanzania? Ungekua karibu ningekulapua makofi.

Hiyo 1.5T unayoingolea tayari Kamati ya Bunge ya PAC ambayo inaongozwa na Chadema ilitoa taarifa yake bungeni kwamba hakuna fedha yoyote iliyopotea. Sasa wewe kajamba nani kwa kukosa hoja bado unang'ang'ania taarifa za kukaririshwa. Walioanzisha hiyo hoja kina Zitto wameshaachana nayo baada ya ukweli kujulikana. Huwasikii wakiiongelea tena.

Halikadhalika 1.2T ni hoja iliyotolewa na mbunge wenu Anatropia Theonest akazomewa bungeni kwa kupotosha, nyinyi huko mitandaoni mmeidaka ili mpotoshe. Ukienda kwenye taarifa za PAC ambao ndo wanachambua taarifa za CAG hiyo hoja haipo. PAC inaongozwa na Chadema, maana ingekua inaongozwa na CCM mngesema wamechakachua taarifa ya CAG.

Nakushauri uwe unafuatilia mambo kwa kina uache ushabiki maandazi wa mitandaoni.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahadi zilizotolewa baada ya ripoti ya ma Profesa wa makinikia,

- kuwafukuza kabisa hawa wapigaji
- kuwadai kodi dola billion 190
- kuanzisha kiwanda cha kuchenjua na bei ya kuanzisha tukaelezwa.
- kubadili sheria
- kuwashtaki wahusika wote walioshiriki kuiibia nchi walitajwa pale kina Chenge na wengineo.

Yaliyojiri:
- Barrick walikuja wakawa wanaume
- Kishika uchumba cha dola milion 300 tutalipwa tumeanza kulipwa 2020 na tutalipwa miaka mitano
- Makinikia yanaendelea kupelekwa nje na tumelipwa kutoka kwenye mauzo.
- Sheria zimebadilishwa mara mbili.
- Wamekamatwa viongozi weusi wa kampuni ya Acacia wasaini mikataba wanajiandaa kugombea majimbo.

Binafsi nilisikiliza hiyo hotuba nikaona nimpe nafasi ya kumuamini nikahisi jiwe ataanza na wanasiasa wenzie kama alivyosema, hakuwagusa. Bussiness as usual. Kwa kifupi wanasiasa tena wametupiga kata funua kwa maslahi yao tu. Tangu siku nasubiri siku ya kura hata kama wataiba wajue tu kuna watu hatuwaamini hata nikiwa peke yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa naendelea kuielewa dhana njema kwa Taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂 Kama CAGs Assad na Kichere wamekagua vitabu vya Chadema na hawakuona tatizo na kutoa HATI SAFI huo ni ushahidi tosha kabisa. Nyie WAPUUZI na WAZUSHI endeleeni na kelele zenu.

Cha kushangaza 2.7 trillions hazijulikani zilipo lakini mmepiga kimya kwa UPUMBAVU wenu. Ndege za zaidi ya trillion 2 sasa zinaingiza hasara ya mabilioni na matumizi ya kununua ndege hizo dikteta HATAKI yakaguliwe kinyume na taratibu za Serikali kwa kujua ATAUMBUKA kwa wizi na ufisadi wake wa kutisha.

Endelea kuamini UJINGA hadi hii leo CAG hajapewa maelezo ya kina kuhusu upotevu wa 2.7 trillions.

Uchunguzi huru kuhusu hizo trillions ndiyo jibu na siyo KUTISHA au KUZOMEA watu ndani ya Bunge DHAIFU. Uchunguzi huru ambao dikteta KAUGOMEA.

 
Upinzani waonesha wizi wa Tsh Trilioni 2.4 toka ripoti ya CAG na ulaghai wa kamati ya PAC iliyopangwa na Ndugai kuficha ukweli - JamiiForums

 
Wizi na ufisadi wa kutisha wa pesa za walipa kodi lakini MPUMBAVU wewe huwezi kutia neno.

Tanzania's House Speaker, Job Ndugai's treatment in India sets the world record as the most expensive EVER for a single medical procedure! - JamiiForums

 
Wewe ndo mpumbavu usiejitambua. Naona umehamisha magoli, umeshindwa kutetea uzushi wenu wa kipuuzi eti 2.7T hazijulikani zilipo.

Halafu, Unanitag na habari isiyo na source unadhani nammi ni nyumbu mwenzio? Ndugai hata kama alitibiwa, alitumia Health Insurance yake. Sasa hapo wizi na ufisadi uko wapi? Nenda kamuulize mbowe pesa za michango ya wabunge wenu alizokwapua kwa ajili ya kumtibu lissu wakati walipata ufadhili. Mjinga mmoja wwe..

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Nimehamisha goli wapi TAAHIRA WEWE! Unasoma hata kilichomo ndani au ni MBUMBUMBU huelewi kilichoandikwa?

Kuna source yoyote ya habari wewe BUKU 7 utakayoikubali zaidi ya source ya WAHUNI NA MAFISADI wenzio wa lumumba?

Upinzani waonesha wizi wa Tsh Trilioni 2.4 toka ripoti ya CAG na ulaghai wa kamati ya PAC iliyopangwa na Ndugai kuficha ukweli - JamiiForums

 
Na ufisadi na wizi wa kutisha uliofanywa na dikteta na ndugai wa kuchota hazina $12 millions au sawa na 28 billion eti pesa za matibabu MPUUZI wewe huwezi kusema lolote kwa sababu ndiyo zenu hizo za kufumbia macho kila UOZO wa kutisha ndani ya hii Serikali ya mafisadi na wezi.

 
Je umeielewa hii tweet ya msemaji mkuu wa serikali?

Je sasa Dollar moja ya Marekani ni TZS 2500?

Je kwa exchange rate hiyo $300M ni TZS 500B?

======

#MALIPOKUTOKABARRICK Wizara ya Fedha na Mipango imepokea sehemu ya malipo ya Dola za Marekani Mil.100 (TSh. Bil.250) kati ya Dola Mil.300 (Tsh. Bil.500) kutoka Kampuni ya Barrick ikiwa ni makubaliano ya malipo ya patano kuhusu fidia ya kodi - Dkt. Philip Mpango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…