Habari Njema: Mtoto wa Mbowe apona Corona

kwani habari njema ni mtoto wa mbowe pekeake kupona korona? Na hao watanzania wengine waliopona sii habari njema? mbona sijaona thread ulizoanzisha?
kama kuna wengine wamepona basi sawa , lakini tuliaminishwa famili ya Mbowe ndio wanaoumwa !
 
Praise the Lord ,sema usije kuwa mpinzani kama baba yako mana yeye ni kupingana ndo dhana aliyojijengea kuwa mpinzani ni kupingana hata idadi ya kiongozi kwenda haja ndogo kuwa zinakuwa nyingi
 
Praise the Lord ,sema usije kuwa mpinzani kama baba yako mana yeye ni kupingana ndo dhana aliyojijengea kuwa mpinzani ni kupingana hata idadi ya kiongozi kwenda haja ndogo kuwa zinakuwa nyingi
Jikite kwenye mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…