Erythrocyte,
Shetani yupi? Anayenyima wenzake haki ya kuishi?
kwa andishi hili nalo unastahili kulipwa elfu 7 kweli ?
MUNGU ni mkubwa, kijana alipona kitambo sana, ile gia ya kwamba vipimo vyaonesha bado ana virus ilikuwa ni ya kifedhuli na ni maelekezo ya shetani wa Dar yule makalio makubwa kama Mariam BirianView attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Mwalimu J.K.N aliandamana lini na mwanae?Mandela Je?Mnakaririshwa vibaya aiseeHivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Uliwahi kutajiwa majina yao au ya baba zao Kama mtoto Hon.Mbowe?Kwani habari njema ni mtoto wa mbowe pekeake kupona korona? Na hao watanzania wengine waliopona sii habari njema? mbona sijaona thread ulizoanzisha?
Hii Ni kazi nzuri ya MAGUFULI,upinzani tutaendelea kuwalea ,kuwafunza na kuwaonya kwa bakora kidogo mnapoteleza.View attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Akina bashite wakiwa wanachakaza mabilioni ya kodi zetu kununua mav8 huwa mnaitwa kupewa mitaji hata vimilioni? Au nyie masikini mkishapewa chumvi na kofia na wake zenu wakanunuliwa chupii na vitenge wkt wa kampeni inabidi msubiri tena miaka 5 mingine.Thubutuuu!
Kafara huwa ni wengine wasiojitambua.
Subiri uteuzi.Hongera sana kwa Serikali ya Magufuli kuendelea kutoa huduma za kupona kwa wagonjwa. Mbinu ya Rais imesaidia Japo CDM wanamkosoa Rais wetu.
😆😆😆😆Akina bashite wakiwa wanachakaza mabilioni ya kodi zetu kununua mav8 huwa mnaitwa kupewa mitaji hata vimilioni? Au nyie masikini mkishapewa chumvi na kofia na wake zenu wakanunuliwa chupii na vitenge wkt wa kampeni inabidi msubiri tena miaka 5 mingine.
Hawezi kukujibu kwa hoja zaidi utaambulia matusi mkuu!Kwani habari njema ni mtoto wa mbowe pekeake kupona korona? Na hao watanzania wengine waliopona sii habari njema? mbona sijaona thread ulizoanzisha?
Reverve ndo Nini Sasa!Nawe mama yangu let me reverve my comment.
Usikimbie hoja ya msingi ya thread hii. Umeulizwa, je, kwenye maandamano watoto wa wakubwa CHADEMA wanakuwa mstari wa mbele? 😀😀😀😀Akina bashite wakiwa wanachakaza mabilioni ya kodi zetu kununua mav8 huwa mnaitwa kupewa mitaji hata vimilioni? Au nyie masikini mkishapewa chumvi na kofia na wake zenu wakanunuliwa chupii na vitenge wkt wa kampeni inabidi msubiri tena miaka 5 mingine.
Hajawahi kuumwa huyo anarukaruka tuuView attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .