Hoja ya msingi sana ,Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Hiyo ni kazi ya hawa "mbugira" huyo anasubiri mikoba toka kwa babaake aje awaandamanishe tena.Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Vipi kwani, si hiyo habari inasema mtoto wa Mbowe kapona? Au alienda kutibiwa nje ya nchi?Nawe mama yangu let me reverve my comment.
Shetani ameshindwa..View attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .