Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
Chochote unachojisikia.kuongea nini ?
Chochote unachojisikia.kuongea nini ?
Mkuu kuwa makini , utadhalilika vibaya sana ! waulize wenzioChochote unachojisikia.
Hawa huwa wanafichwa uvunguni mwa vitanda na DJHivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Wakijibu hili nitagHivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Nani anawajua sasa, nani mwingine aliyetangazwa ana umwa corona? Nakumbuka huyu alitangazwa na makonda na baba ake akthibitisha , mwingine alijitangaza ni piere, meneja wa diamond na mwana FA , na wote wameshapona , taja nani mwingine anayejulikana anaumwa corona, inajulikana idadi tu lakini watu hawajukikani,kwani habari njema ni mtoto wa mbowe pekeake kupona korona? Na hao watanzania wengine waliopona sii habari njema? mbona sijaona thread ulizoanzisha?
Haina shida nikiwa katika hao waliodhalilika,kwani kudhalilika kuna fomula maalumu,binadamu ni kama kivuli chako kwenye mwanga.Mkuu kuwa makini , utadhalilika vibaya sana ! waulize wenzio
Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Kwani kwenye iyenaiyena.watoto wa kinana, komba walikuwepo.Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Heko Magufuli.View attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Nawe mama yangu let me reverve my comment.Heko Magufuli.
Kumbe wapo wanaopona eeh?
Kidoa cha Corona virus! Mh... Tabu sana😂😂😂View attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Ndio mkome kuwa masikiniHivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Ujinga mtupu!View attachment 1448462
Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona .
Nakala imfikie Shetani popote alipo .
Wanasiasa gani unaowajua wewe!Maandamano ni ya wanasiasa tu
Muulize vizuri!Kwani habari njema ni mtoto wa mbowe pekeake kupona korona? Na hao watanzania wengine waliopona sii habari njema? mbona sijaona thread ulizoanzisha?
Ushaur mzuri na swali lake!Vizuri. Ila punguza mihemko boss, shetan ndo nan?
Thubutu nani apeleke mwanawe akatiwe ulemavu!Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu
Sio uloaminishwa ni kweli na huyo kijana si ndio huyo kapona!kama kuna wengine wamepona basi sawa , lakini tuliaminishwa famili ya Mbowe ndio wanaoumwa !