Zambotti JF-Expert Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1,983 Reaction score 3,670 May 13, 2020 #61 Ni habari mbaya kwa Rais wa mkoa
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 May 13, 2020 #62 MKATA KIU said: Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu Click to expand... Hoja ya msingi sana ,
MKATA KIU said: Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu Click to expand... Hoja ya msingi sana ,
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 11,394 Reaction score 21,391 May 13, 2020 #63 MKATA KIU said: Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu Click to expand... Hiyo ni kazi ya hawa "mbugira" huyo anasubiri mikoba toka kwa babaake aje awaandamanishe tena.
MKATA KIU said: Hivi kwenye maandamano na hawa watoto huwaga wanaitwa kwenda kusapoti. Ama wanabaki nyumbani mabomu wanapigwa watoto wa maskini tu Click to expand... Hiyo ni kazi ya hawa "mbugira" huyo anasubiri mikoba toka kwa babaake aje awaandamanishe tena.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 May 13, 2020 #64 Inside10 said: Nawe mama yangu let me reverve my comment. Click to expand... Vipi kwani, si hiyo habari inasema mtoto wa Mbowe kapona? Au alienda kutibiwa nje ya nchi?
Inside10 said: Nawe mama yangu let me reverve my comment. Click to expand... Vipi kwani, si hiyo habari inasema mtoto wa Mbowe kapona? Au alienda kutibiwa nje ya nchi?
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 May 13, 2020 #65 Erythrocyte said: View attachment 1448462 Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo . Click to expand... Shetani ameshindwa..
Erythrocyte said: View attachment 1448462 Hii ni baada ya vipimo kuthibitisha kwamba hana hata kidoa cha Corona . Nakala imfikie Shetani popote alipo . Click to expand... Shetani ameshindwa..