Habari nyeti na nasaha zangu kuhusu vijana watakaofanya kazi na DP World

Naona bado rupia ya mwarabu inaendelea kutembea ili kutwaminisha juu mkataba huu mbovu
 
Hizi bado ni simulizi za alinacha,hakuna data,ni hearsay TU,na porojo kama za mwamposa,sijaona data,,ni masimulizi kama ya mabeki tatu wakikutana kisimani kuchota maji,
 
Tunapelekwa utumwani Dubai bila kujulikana ukomo, ajabu anajitokeza kibaraka wa shetani asiyechoka kumtumikia shetani, muda wote ni kumpamba shetani.. hakika ushindwe na ulegee ewe bibi ulielaaniwa.
 
Na sisi wagalatia tufanye nini..?
Ndugu yangu, Uislam ulikuja kufuta ubaguzi. Soma Waislam tunsfundishwa. Nininkuhusu Wskristo (wa kweli) katika hii aya ya Qur'an 👇🏾

Qur'an 5:82. Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Manasara (wakristo) . Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi. 82
 

Una ji position eneo mahususi kuwapiga vijana wa Kitanzania. Kwa hiyo baada ya hiyo call umekuwa exprt wa ajira za DP?
 
Binadamu ana hulka ya kujaribu kile anachokatazwa. Ni wachache sana hutii maelekezo. Watu wajanja hutumia katazo kama njia ya kuwavuta wengine.

Ukweli ni kwamba, hii 'uliza swali swali hapa, PM sijibu' ni namna ya kuwavutia watu kwenda PM. Na huko kuna mengi yatatokea.

Just to inform everyone,
Tuliofanya kazi na taasisi za kimataifa au labda hata za kawaida kwenye nchi za ngozi nyeupe hakuna cha ajabu alichokiandika mtoa mada.

Mambo ya Computer literate ni lazima kwa kampuni inayotegemea teknolojia.

Mambo ya rushwa na kufoji ni mambo mazito kwenye taasisi nyingi.

Huko PM mtakapoenda iweni makini sana. Kila la kheri.

Ukienda PM sema jina la Kiislamu. Faiza ni mdini kulikopitiliza. Atakuambia badili dini ili nikupe kazi.
 
Umesahau kimoja, wavivu wavivu hawatakua na chance kabisaa!maana watz wengu wavivu,hawafanyi, wamekalia majungu majungu tu!vivid examples - wafanyakazi wa serikali
 
Calibre yenu ndio mnazidi angamiza Taifa!! Hata gas na rasilimali nyingine mliimba ngonjera kama hizi, leo gas tunaitafuta kwa tochi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…