Zipo wapi hizo kampuni?Kwa sasa kazi za ufundi ndizo zenye pesa jifunze useremala. Kama kichwa chako chepesi ndani ya mwaka mmoja unakuwa fundi mzuri tu. Nenda kajifunzie kwenye kampuni za kichina Kama CRJ na Hainani. Unaanza Kama kibarua huku unalipwa pesa pia. unapata ujuzi ndani ya mwaka unashika kazi unapiga pesa.
Dar es salaam,Dodoma,Zanzibar. Zipo kwa wingi Ila kwa wewe Anza Dar es salaam. Najua ukosi ndugu DarZipo wapi hizo kampuni?
Kuna tofauti ya kazi na kibarua ?!!! Unatka kibarua kipi?!Na mm jaman naomben kibarua hamkunipa jibu
Lindi ina Wilaya Tano. Uko Lindi Ipi?Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.
Nawasilisha.
Ata sijui kama Kuna utofauti ila yoyote nipate cha kueka mwilinKuna tofauti ya kazi na kibarua ?!!! Unatka kibarua kipi?!
Nipe details zako nione kama ntakupq connection na uwe seriousAta sijui kama Kuna utofauti ila yoyote nipate cha kueka mwilin
M ni form four student Sina detail zaidi ya apoNipe details zako nione kama ntakupq connection na uwe serious
Four student au form four leaverM ni form four student Sina detail zaidi ya apo
I mean leaver nipo darFour student au form four leaver