Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

Habari wakuu! Naomba connection ya kazi

msouth23

Member
Joined
Oct 31, 2015
Posts
80
Reaction score
71
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.

Nawasilisha.
 
Kwa sasa kazi za ufundi ndizo zenye pesa jifunze useremala. Kama kichwa chako chepesi ndani ya mwaka mmoja unakuwa fundi mzuri tu. Nenda kajifunzie kwenye kampuni za kichina Kama CRJ na Hainani. Unaanza Kama kibarua huku unalipwa pesa pia. unapata ujuzi ndani ya mwaka unashika kazi unapiga pesa.
 
Zipo wapi hizo kampuni?
 
Wakuu mi ni Jobless, nina miaka 29 elimu yangu ni Diploma ya Information Technology, ila sijafanikiwa kupata kazi mpaka leo mtaani kugumu.
Nipo tayari kufanya kazi yoyote halali hata ikawa ya nguvu, nipo LINDI ila nipo tayari kwenda sehemu yoyote mda wowote.

Nawasilisha.
Lindi ina Wilaya Tano. Uko Lindi Ipi?
 
Back
Top Bottom