Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

Habari Wakuu. Naomba kujua namna Ya kupata kazi katika mashirika Ya kimataifa.

pentoxide

Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
15
Reaction score
9
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.

Shukran..
 
Pata connection ya watu wanaofanya kazi huko, jitolee au kuwa kwenye circle ya viongozi wa hayo mashirika.
 
Back
Top Bottom