pentoxide Member Joined Jul 30, 2015 Posts 15 Reaction score 9 Dec 29, 2023 #1 Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA. Shukran..
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,052 Reaction score 7,375 Dec 29, 2023 #2 Jiunge linkeid follow izo NGO uchungulie jobs,pia follow na JTI Japan tobacco international.
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Dec 29, 2023 #3 LinkedIn, indeed , Google search
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Dec 29, 2023 #4 Pata connection ya watu wanaofanya kazi huko, jitolee au kuwa kwenye circle ya viongozi wa hayo mashirika.
Pata connection ya watu wanaofanya kazi huko, jitolee au kuwa kwenye circle ya viongozi wa hayo mashirika.
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,052 Reaction score 7,375 Dec 29, 2023 #5 Extra miles said: Pata connection ya watu wanaofanya kazi huko, jitolee au kuwa kwenye circle ya viongozi wa hayo mashirika. Click to expand... Ndoanatafuta connection.
Extra miles said: Pata connection ya watu wanaofanya kazi huko, jitolee au kuwa kwenye circle ya viongozi wa hayo mashirika. Click to expand... Ndoanatafuta connection.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Dec 29, 2023 #6 Soulja boy said: Ndo anatafuta connection. Click to expand... Ahudhurie hafla, shughuli na confrences mbalimbali atapata.
Soulja boy said: Ndo anatafuta connection. Click to expand... Ahudhurie hafla, shughuli na confrences mbalimbali atapata.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 29, 2023 #7 All the Best